Naomba nisisitize kwamba utaratibu uliopo wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru hii sio demokrasia na ili ipatikane tume huru na ya kisasa zaid itakayo fanya haki nilishauri kwenye jukwaa...
Kada wa CCM Mchungaji Peter Msigwa amesema Freeman Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2 kwasababu hana jipya.
"Ningekuwepo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini...
Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.
Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya...
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha...
Uchaguzi Mkuu wa Bavicha ndio tukio kuu kwa siku ya leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wanakutana kuamua viongozi watakaoongoza Baraza hilo kwa kipindi kijacho.
Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima!
Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba...
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya...
Inashangaza Sana Balozi zetu huko ughaibuni hazitoi taarifa za fursa zilizopo huko. Fikiria nchi za Middle and Far East zilivyo na fursa ya Ajira, chakula na Ujenzi Ila wenzetu ubalozini wametulia...
Shallom.
Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni.
Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV.
Pamoja...
kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona.
Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii.
Utangulizi:
Hapa kuna ufafanuzi wa maswali yako:
1. Wanasiasa walisomea...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kutunza hali ya usalama na amani nchini tangu alipoapishwa kufuatia kifo...
Wakuu
Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini...
Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe.
Kwa mujibu wa kituo cha habari cha...
Watu wasiojulikana wamevamia na kuchoma moto Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Silambo iliyopo Kijiji cha Nsungwa Wilayani Kaliua Mkoani Tabora na kuteketeza baadhi ya nyaraka na samani zilizokuwepo...
Wakuu,
Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa siku ya leo Jumapili Januari 12, 2025.amezungumza katika mkutano wa wanahabari...
Baada ya Maria Sarungi kupatikana Waziri wa Utumishi Mh Mutuli naye ameibuka ghafla na kutaka Serikali ifanye Kitu Ili na yeye mtoto wake apatikane
Mutuli amesema mtoto wake alitekwa wakati yeye...
Eneo la kudumu limeendelea kugubikwa na mipango mibovu baada ya jengo la kudumu la msikiti kuanza kujengwa sambamba na vibanda vya mihogo na kilevi.
Hakuna anayekataa watu kuswali, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.