Wakuu,
Katika mahojiano aliyofanya siku tano zilizopita Musiba alisema kuna vikundi ambavyo angependa kuishauri serikali ya Tanzania kwa jicho la tatu, kwani si wema na wameanza harakati za...
VIONGOZI WA UMMA WALIOKO KATIKA ORODHA HII WAMEKIUKA NA/AU KUVUNJA MASHARTI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO
(KWA HISANI YA WEBSITE YA CHADEMA) kwa sasa tamko halipo ...
Rais John Magufuli amemteua Brigedia Jenerali John Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU).
Uteuzi huu unaanza rasmi leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi...
Wakuu,
1. Geoffrey Mizengo Pinda – Mbunge wa Kavuu
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kura katika Uchaguzi wa 2020: 41,401 (alishinda dhidi ya Stephen Mertus Hamis wa CUF aliyejipatia kura 2,920)...
Habari Wanajamvi?
Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi...
Mashindano ya kutafuta Malkia wa Nguvu Duniani. Yatafanyika Sydney, Australia tarehe 29/03/2025. Katika ukumbi wa Sydney International Convention and Exhibition Centre. Tuwape support.
***Kwa...
Leo 9 Disemba ni siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika, siyo kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania wala Tanzania Bara , kwahiyo upotoshaji wowote kuhusu sherehe hizi tutaupinga kwa nguvu zote bila...
Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika.
Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya...
Ukienda hospital ukiwa unachemka na kichwa kinauma ukiambiwa una malaria unapata relief shida imeonekana.
Ukienda kwa Mganga umefiwa mtoto mkawa mnamuhisi jirani na mganga akawaambia yule jirani...
Kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Tabora imeeleza kutoridhishwa na matumizi ya shilingi milioni 600 kwa mradi wa bwawa la umwagiliaji la Iyombo, ambapo mkandarasi ameishia kujenga tuta pekee.
Tume...
Hao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo?
Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani?
Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili...
Kichwa cha Habari ni maneno ya Busara Kutoka Kwa Kiongozi mkubwa wa Dini ya Islam Shehe Ponda
Shehe Ponda anasema Chadema inaelekea Hatarini Tukihubiri Demokrasia basi Tuitekeleze na tukidai...
Ametoa angalizo Dr Lwaitama Ukurasani kwake X
Ukiona mgombea anawanunua hadi akina Kigogo wamtangaze, Kaisha huyo
Ila sijajua hapo Chadema nani kamnunua Kigogo 🐼
Nyerere aliianzisha CCM.
Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia.
Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha...
Kijana Shija Shibeshi, aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, ametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.
Shija ameomba wafuasi wake kumuunga mkono Wakili Deogratias...
Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa.
Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.