Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Shinyanga ameondolewa kwenye nafasi hiyo kwa sababu ameonyesha kumuunga mkono Mbowe.
Kimsingi alitumia uhuru wake wa mawazo kumuunga mkono Mbowe. Kundi la Lissu, kwa...
1. Chama Cha Mapinduzi tuna Sera za maana.
2. Wapiga Kura wanatukubali Sana. Hivyo tegemeeni ushindi mkubwa Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025.
NB: ushindi si chini 90% Kwa...
Long live TAL:
Huu ni mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu:
Pia soma: Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati
Pia soma: Ukombozi dhidi...
Wakuu Salam.
Bob Junior Simba Mtawala wa Serengeti hifadhi ya Serengeti ambaye ambaye alitawala kwa miaongo isiyopingua mitatu.
Bob junior alivuma kwa utawala wa kibabe ndani ya hifadhi yeye na...
Gap limekuwa kubwa kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa sababu ya
Upinzani dhaifu
Kutekwa watu hovyo
Rushwa kila kona
Kupotea kwa watu
Mauaji bila sababu
Viongozi walarushwa
Viongozi wazembe...
Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia...
Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amesema "Hii ya (Lissu) kuombea Urais, unapokuwa na mgombea wa aina ya Magufuli, tunajua Magufuli alivyokuwa inabidi upeleke mtu anayefanana nae tabia...
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda...
Wasalaam ndugu zangu,
Kwanza nianze na pongezi kwa mikoa ya Dar-es Salaam, Dodoma, na Kilimanjaro kupongezwa na Mheshimiwa Rais Jana kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi yetu...
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea...
Tundu Lissu mwanaharakati na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu anapambana kukalia kiti cha Mwenyekiti Chadema Taifa
Molemo Media imefanya utafiti maeneo mbalimbali nchini kwa wajumbe wa mkutano...
Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Hii ni kutokana na historia yake ya...
Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Korogwe jana kwa shtaka la kumkashifu Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji Korogwe kuwa ana stashahada ya...
Tundu Lissu tupe ahadi ukishinda Utaanzisha Chadema TV & Radio, Mbowe japo alikuwa na Disco kama Kusaga lakini ameshindwa kwa miaka 20
Sifurahishwi na utaratibu wa Mbowe na Tundu Lissu kila siku...
Unakaribia mwezi mmoja sasa tangu msafara Ndugu Paul Makonda, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, upate ajali kule Sululu, Masasi mkoani Mtwara. Ajali hiyo iliyohusisha magari...
Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa...
Yesu Kristo aliishi kwa miaka 33 umri ambao Mbowe kaishi ndani ya CHADEMA
Ni sawa Mbowe alikuwepo wakati Tuntemeke Sanga anaasisi CHADEMA lakini hakuwa miongoni mwa wale Mitume 6 wa CHADEMA...
Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa...
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mrisho Gambo, ametembelea mradi wa ujenzi wa Barabara ya Engosheraton jijini Arusha na kumtaka mkandarasi wa mradi huo, Jiangxi GEO...