Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana...
Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT "
Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna...
Kuna watu wanaugua nafsi zao wakimwona mjomba angu anafanikiwa katika juhudi zake za kulinda kikoba kwa wivu mkubwa.
Kama mnadhani ni rahisi sana, anzisheni chakwenu. Makamanda najua mnamwelewa...
Kumekucha kumekucha
Gambo
Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema
"Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama.
Na katika...
Ni wazi kuelekea uchaguzi wa chadema ngazi ya Taifa, kuna wagombea wasio wazalendo, makuwadi wa mabenyenye ya magharibi, wanaokusudia kuigawanya, kuisabaratisha na kuipoteza kabisa chadema kwenye...
Wanabodi,
Niko hapa Hyatt Regency, zamani Kilimanjaro Kempiski, kuwaletea mkutano wa Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri...
Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman...
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema Chadema iliasisiwa kama Chama kinachoamini Kwenye Uhuru wa soko, Uhuru wa Watu Kufanya Biashara na kuhimiza Uwekezaji na kuchochea Wawekezaji wa Nje...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu CHADEMA wanapaswa kujifunza kutoka CCM basi ni suala zima la kusimamia maadili, nidhamu,sheria,kanuni, taratibu,miongozo na katiba ya chama.Ndani ya CCM...
Ameyasema hayo kupitia ClubHouse kujadili hotuba ya Tundu Antipas Lisu kulinganisha na hotuba ya Rais Samia hapo jana.
Dkt Slaa, amesema Lisu amezungumza mambo muhimu na msingi kuliko Rais Samia...
✳️JOKATE AWAPA TANO VIJANA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MKUTANO MKUU CCM.
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo amesema jumuiya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi...
Kama ilivyo Kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, Majenerali wastaafu, mwenezi na Wakuu wa Mikoa. Madiwani nao wanastahili vyombo vya usafiri vyenye hadhi.
NB: hizi gari zitarahisisha kumtembelea miradi...
“Dhana ya uongozi wa kisiasa inakwenda na dhana ya malengo, maono, dream si kila wakati ku-quit ni suluhisho, kwa hiyo lengo letu ni nini? Ni kukamata dola. Lengo hili halijatimia”
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo...
Tunaambiwa Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la moyo,na tunafahamu kila ugonjwa una Masharti yake,sidhani kama mgonjwa wa moyo anatakiwa kubehave kama alivyobehave Hayati Magufuli.
Ningekuwa mimi...
"Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na...
Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni...