Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Habari za Sabato! Nimeona Mbowe Akihojiwa na Kikeke. Kwa kweli hofu ipo dhahiri machoni mwake. Hata body language yake inamkataa akijaribu kuficha hofu yake. Ni kama amekata tamaa pakubwa...
29 Reactions
80 Replies
3K Views
Salaam Wana JF. Kwanza kabisa naomba niwapongeze wale walioanzisha forum hii kama sehemu ya matumizi ya uhuru wao binafsi. Aidha, niwapongeze kwani forum hii ni sehemu ya harakati muhimu ya...
34 Reactions
531 Replies
72K Views
Hizi pesa zote Mil.150 Rais kapatia wapi za kugawa hovyo ? Moja ya kazi ya Rais wa JMT ni kusaidia kusambaza dini? === Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa...
8 Reactions
73 Replies
7K Views
Habari za jumapili. Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21. Sijajua kitu gani kinawafanya wasione...
36 Reactions
101 Replies
3K Views
== Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote. Mhe John Heche...
22 Reactions
103 Replies
3K Views
Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua. Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine...
2 Reactions
0 Replies
131 Views
Kwema Kabisa! Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea. Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu. Lakini...
44 Reactions
139 Replies
3K Views
Liwalo na liwe this is too Much!Nikiri mimi ni Shabiki wa Lissu lakini anapoelekea hapana,kama anahama CHADEMA ahame tu namtakia Safari njema asituharibie Taasisi,sisi tutabaki Mashabiki wa...
1 Reactions
3 Replies
180 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka mkoa wa Mara wamejitokeza hadharani na kueleza msimamo wao kuwa kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kutafuta viongozi wa Kitaifa wa chama hicho...
6 Reactions
23 Replies
986 Views
Kwa faida ya wasio-fahamu, Antipas Lissu ni Mwamini mtiifu wa Kanisa Takatifu la Mitume yaani Kanisa Katoliki la Roma. Vilevile, kwa maokozi mengi aliyookolewa na MWENYEZI Mungu hakika Tundu ni...
2 Reactions
14 Replies
350 Views
Maana kitendo cha kumuunga mkono Lissu ni wazi unapoteza kila kitu ndani ya CHADEMA. Na jinsi ya Makonda alivyotanda Arusha sijui kama kupitia chauma ataweza kungara
0 Reactions
7 Replies
360 Views
Ndugu Watanzania wenzangu, tunafahamu nguvu ya siasa katika taifa letu.Wapo wenye vyama vya siasa na wapo Watanzania wengi wasio na vyama ambao wote kwa pamoja tumekuwa tukiathiriwa chanya au hasi...
0 Reactions
8 Replies
226 Views
Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema: "Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea...
7 Reactions
91 Replies
6K Views
Mwanzoni viongozi waandamizi wa chadema hususani ngazi ya taifa walikua wakijipiga kifua sana hadaharani kwamba hakuna mgawanyiko wala mpasuko wowote ndani ya chadema, ispokua kilichokua...
0 Reactions
8 Replies
340 Views
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kilivuka salaama mwaka 2019 na hii nikwasababu mbowe hakuwa na mpinzani wake ! Hayo tumeyaona kipindi cha CHACHA WANGWE, NA ZITTO ZUBERI KABWE , tabia...
0 Reactions
3 Replies
146 Views
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa...
-3 Reactions
134 Replies
1K Views
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa...
56 Reactions
2K Replies
276K Views
Habari Leo Novemba 13, 2010 VIONGOZI wakuu wa Jeshi la Magereza nchini wanakabiliwa na tuhuma nzito za matumizi ya Sh bilioni 40 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa mfumo mpya wa kusajili...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tanzania Bara, alishusha tuhuma kuhusu mtu anayeitwa Abdul, mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda nyumbani kwake kumhonga. Alizungumza kwa mara ya...
10 Reactions
107 Replies
2K Views
Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae . Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody. Jumapili njema ,nawapenda sana...
17 Reactions
66 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…