Haya ni maono baada ya tarehe 21 ya siku ya uchaguzi. Ni tarehe 25 na kuendelea. Kipindi hiki tayari Mwenyekiti ameshafahamika, naye ni FAM.
Kwa kuwa huyu mwamba ni injinia wa siasa za bongo...
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha...
Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center
Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh...
Kila mwenye mapenzi ya siasa za Tanzania, basi macho na masikio yake yapo CHADEMA kuelekea uchaguzi wao mkuu. Hii inaonesha ni kwa namna gani CHADEMA ni bidhaa muhimu kwenye siasa za Tanzania...
Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akimkabidhi hati ya uwakili Rhidhiwani Kikwete leo asubuhi Mahakama kuu jijini Dar. Jumla ya mawakili wapya 128 walipatiwa hati zao leo
Mama Salma Kikwete akiwa...
Wakuu,
Naona Uchaguzi wa safari hii ndani ya CHADEMA mambo yamekuwa ya moto mno to the point where viongozi wameanza kuvujisha siri za kambi.
Akizungumza siku ya leo kwenye mahojiano na Global...
Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili.
Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi.
Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni...
Nimenukuu kutoka kwa mdau mmoja kutoka kwenye chombo kimojawapo cha habari.
Kwa mtazamo wangu na uchunguzi wangu kwa kuunganisha Dot. Pamoja na inshu ya Sasa ndani ya CDM Kuna mambo mengi nahisi...
Nimesikia mengi toka huku mitaani. Wanakusifu sana jinsi ulivyoongoza CHADEMA kwa muda wa miaka 20 lakini wanakuomba kwa uchaguzi ujao KUBALI YAISHE.
Unaombwa kumuachia mwingine naye asimamie...
Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza...
Huu ndio ushauri wangu
Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi.
Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa...
Wakuu,
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe...
Lissu anafiti kwenye taaluma aliyonayo ya sheria lakini hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.
Lissu ni mlopokaji, ana lugha mbovu ni mtu ambaye hana utulivu, busara ndiyo...
Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe.
Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na...
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni...
Power Balance, kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa. Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake...
1. Zito Kabwe
Huyu mwanzilishi wa ACT Wazalendo alikuwa haamini kabisa kama Tanzania inaweza kuwa na ndege zake mpya kabisa kutoka kiwandani! Alitukana na kukejeli kwamba Tanzania haina uwezo huo...