Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Klabu ya Arusha Saccos imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakisema amekuwa chachu ya...
1 Reactions
5 Replies
203 Views
Chadema polepole wameanza kutumia Media vizuri zaidi. Tofauti na CCM ambayo viongozi wao wamejiweka kama vigogo wenzao Chadema wamejiweka kama watu wa kawaida. Huwezi kumsema mtu ni wa fujo wakati...
6 Reactions
7 Replies
536 Views
Toka Trump awe Rais amesaidia sana kuonesha mambo yafuatayo; 1.Kwamba kumbe Urais ni One Man Show (Matakwa ya Rais) tofauti na Chadema wanavyodanganyaga eti ni taasisi 2.Kumbe Kila Chama...
5 Reactions
38 Replies
578 Views
Wakuu, Naona suala la utekaji limekuwa ni suala gumu mno imefikia hatua hadi CCM wameanza kupiga kelele. CCM tulieni. Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Haya makelele Chadema walianza mapema...
0 Reactions
5 Replies
508 Views
Watendaji wa kata, vijiji au mitaa wametakiwa kuacha tabia ya kuwakamata watuhumiwa na kuwaweka ndani saa 24 ikielezwa kuwa hawana mamlaka kisheria. Kauli hiyo imetolewa na Mkufunzi wa Elimu ya...
0 Reactions
4 Replies
522 Views
Mratibu wa Kitaifa wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa (Ulingo), Dk Ave- Maria Semakafu amesema anatamani wanasiasa wanaochipukia ndio wapate ubunge wa viti maalumu ili wazoefu waende majimbo...
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Wakuu, Naombeni kueleweshwa huyu mtoto wa Lowassa, Fred Lowassa anafanya nini bungeni maana tangu ashinde Ubunge wa Monduli mwaka 2020 ameuliza swali moja tu? Ukifungua website ya bunge...
1 Reactions
26 Replies
700 Views
Amesema walimu wote niwaoga wanatishwa na kuperekeshwa na wakurugenzi kuiba kura za wananchi . ====== MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kabla...
12 Reactions
94 Replies
5K Views
Askofu Bagonza aeleza namna 4R za Rais Samia Suluhu Hassan zilizotekwa na baadhi ya watu kwa kushindwa kuzifuata kama alivyokuwa akitaka Rais zifuatwe. Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu...
2 Reactions
15 Replies
952 Views
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji kutoka Umoja wa vijana UVCCM Taifa, CDE Jessica Mshana amesema umoja huo upo tayari kujibu hoja mbalimbali zitakazotowela juu ya chama hicho, kuelekea katika...
0 Reactions
2 Replies
132 Views
  • Redirect
Kwenye One on One with Charles William, Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema baada ya kuongoza chama hicho kwa miaka 25, hakutaka kuendelea kuwa mwenyekiti lakini wanachama wa...
2 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Katika mahojiano na Charles William , Mwenyekiti wa CUF Taifa Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa CHADEMA imekua ikikataa ushirikiano wowote wa kisiasa. Pia Lipumba alieleza kuwa Tundu...
0 Reactions
10 Replies
311 Views
WIZARA YA UCHUKUZI, KAMPUNI YA KICHINA MATATANI, MADENI YAWAANDAMA WIZARA ya Uchukuzi kwa kushirikiana na kampuni ya KICHINA ya China Railway 15 Bureau Group corporation (CR15G) inatuhumiwa...
0 Reactions
3 Replies
195 Views
Imekuwa tamaduni wa CCM kununua makapi ya Chadema sasa je hawa ambao ndiyo inasemekana walishirikiana kuwaweka Covid 19 kinyemela wako tayari kununuliwa hawataki kwenda bure! Kwa mawazo yangu...
1 Reactions
0 Replies
108 Views
Wapendwa Leo nimeona niwaombe radhi kwa nitakaowaudhi. Kama kuna kitu kinanisikitisha kwenye SIASA zetu ni kutokuwa na UKOMO VITI MAALUM Hiki kiti kumekuwa kama mwenye nacho apewe maana kuna...
3 Reactions
18 Replies
264 Views
Kama sio hadaa na utapeli wa kisiasa kwa wanachama weke ni nini? Maana ni wazi ndugu zangu kwamba, kama yeye kwa ubinafsi wake amepima na kujitathmini kwamba kwa nafasi anayotarajia kugombea...
0 Reactions
25 Replies
597 Views
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama...
2 Reactions
21 Replies
550 Views
Wakuu, Wakati taifa linaeleka kenye Uchaguzi, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha amewaomba wanasiasa wasitumie fursa ya kuwafuturisha wananchi kama rushwa ya kwenye uchaguzi Soma pia...
1 Reactions
13 Replies
594 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakijinasibu na kudai ‘No Reform...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Zanzibar Hamad Mkadam amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu ya afya kwenye moja ya hospitali kisiwani Pemba...
0 Reactions
2 Replies
207 Views
Back
Top Bottom