Klabu ya Arusha Saccos imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Mhe. Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wakisema amekuwa chachu ya...
Chadema polepole wameanza kutumia Media vizuri zaidi. Tofauti na CCM ambayo viongozi wao wamejiweka kama vigogo wenzao Chadema wamejiweka kama watu wa kawaida. Huwezi kumsema mtu ni wa fujo wakati...
Toka Trump awe Rais amesaidia sana kuonesha mambo yafuatayo;
1.Kwamba kumbe Urais ni One Man Show (Matakwa ya Rais) tofauti na Chadema wanavyodanganyaga eti ni taasisi
2.Kumbe Kila Chama...
Wakuu,
Naona suala la utekaji limekuwa ni suala gumu mno imefikia hatua hadi CCM wameanza kupiga kelele.
CCM tulieni. Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Haya makelele Chadema walianza mapema...
Watendaji wa kata, vijiji au mitaa wametakiwa kuacha tabia ya kuwakamata watuhumiwa na kuwaweka ndani saa 24 ikielezwa kuwa hawana mamlaka kisheria.
Kauli hiyo imetolewa na Mkufunzi wa Elimu ya...
Mratibu wa Kitaifa wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa (Ulingo), Dk Ave- Maria Semakafu amesema anatamani wanasiasa wanaochipukia ndio wapate ubunge wa viti maalumu ili wazoefu waende majimbo...
Wakuu,
Naombeni kueleweshwa huyu mtoto wa Lowassa, Fred Lowassa anafanya nini bungeni maana tangu ashinde Ubunge wa Monduli mwaka 2020 ameuliza swali moja tu?
Ukifungua website ya bunge...
Amesema walimu wote niwaoga wanatishwa na kuperekeshwa na wakurugenzi kuiba kura za wananchi .
======
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kabla...
Askofu Bagonza aeleza namna 4R za Rais Samia Suluhu Hassan zilizotekwa na baadhi ya watu kwa kushindwa kuzifuata kama alivyokuwa akitaka Rais zifuatwe.
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu...
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji kutoka Umoja wa vijana UVCCM Taifa, CDE Jessica Mshana amesema umoja huo upo tayari kujibu hoja mbalimbali zitakazotowela juu ya chama hicho, kuelekea katika...
Kwenye One on One with Charles William, Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema baada ya kuongoza chama hicho kwa miaka 25, hakutaka kuendelea kuwa mwenyekiti lakini wanachama wa...
Wakuu,
Katika mahojiano na Charles William , Mwenyekiti wa CUF Taifa Profesa Ibrahim Lipumba ameeleza kuwa CHADEMA imekua ikikataa ushirikiano wowote wa kisiasa.
Pia Lipumba alieleza kuwa Tundu...
WIZARA YA UCHUKUZI, KAMPUNI YA KICHINA MATATANI, MADENI YAWAANDAMA
WIZARA ya Uchukuzi kwa kushirikiana na kampuni ya KICHINA ya China Railway 15 Bureau Group corporation (CR15G) inatuhumiwa...
Imekuwa tamaduni wa CCM kununua makapi ya Chadema sasa je hawa ambao ndiyo inasemekana walishirikiana kuwaweka Covid 19 kinyemela wako tayari kununuliwa hawataki kwenda bure! Kwa mawazo yangu...
Wapendwa Leo nimeona niwaombe radhi kwa nitakaowaudhi. Kama kuna kitu kinanisikitisha kwenye SIASA zetu ni kutokuwa na UKOMO VITI MAALUM
Hiki kiti kumekuwa kama mwenye nacho apewe maana kuna...
Kama sio hadaa na utapeli wa kisiasa kwa wanachama weke ni nini?
Maana ni wazi ndugu zangu kwamba, kama yeye kwa ubinafsi wake amepima na kujitathmini kwamba kwa nafasi anayotarajia kugombea...
Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama...
Wakuu,
Wakati taifa linaeleka kenye Uchaguzi, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha amewaomba wanasiasa wasitumie fursa ya kuwafuturisha wananchi kama rushwa ya kwenye uchaguzi
Soma pia...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakijinasibu na kudai ‘No Reform...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Zanzibar Hamad Mkadam amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu ya afya kwenye moja ya hospitali kisiwani Pemba...