Kuna vipimo vingi vinavyotumika kupima Afya ya Uchumi wa Nchi.Baashi yake ni pamoja na
-Mfumuko wa bei
-Ukuaji wa GDP
-Urari wa Mauzo ya Nje
-Composition ya sekta Zinazoongoza Uchumi
-Uimara wa...
Suala hili limekua likikejeliwa na ccm bila kuja na hoja zenye mashiko.
Hoja zangu ni hizi:-
1. Kwa upande wangu mimi, nikiangalia kwa upande wa vyama vya upinzani nabaini kwamba ni kichaa peke...
Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la...
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba amewasilisha rasimu ya Mpango na Muongozo wa maandalizi na mapendekezo ya Bajeti ya serikali Kwa mwaka Mpya wa Fedha yaani 2025/2026.
Waziri Mwigulu amesema...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa...
Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo na ujasiliamali kwa Vijana wa Mkoa wa Rukwa lengo likiwa ni kutoa mafunzo na vitendea kazi kwa Vijana...
Wakuu,
Imefikia hatua sasa CCM wameanza kutumia wazungu kama machawa wao ili waonekane wananfanya kazi
=========================================
Ryan Shirley kutoka Jimbo la Utah, Magharibi...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa...
During the JPM regime, there was only one kidnapping gang, led by JPM's home boys Albert Bashite and former Nyaulingo RSO Mby.. The gang involved security personnel from the Lakes region and no...
Mwanachama wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezi Petro amesema wanamuunga mtu yeyote anayekuja na hoja ya mabadiliko kwa...
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi...
Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi...
WAZIRI PINDI CHANA AWAJIBISHWE MARA MOJA – VITENDO VYA UKATILI MAMLAKA ZA HIFADHI DHIDI YA WANANCHI VIMEFIKIA HATUA MBAYA
Msimamo wa ACT Wazalendo kutokana na matukio uvunjifu wa haki za binadamu...
Kama una akili timamu na unawaza kwa kutumia kichwa na sio tumbo (maslahi binafsi) utagundua kuwa Nchi yetu imefika hatua mbaya sana.
Kiongozi yeyote anapojua kuwa sio kura za Wananchi...
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia Wanaccm wenzake kwamba, Nanukuu , "KAMA UNAMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI” Mwisho wa kunukuu.
Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo...
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo.
Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye...
Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious.
Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.