Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu Mawaziri wakisakata rhumba :BRUHMM: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wakicheza muziki Jukwaani huku wakiwa na vikapu kichwa wakati wa...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa...
0 Reactions
4 Replies
204 Views
Hata kampuni moja ya ndege iliyokuwa inakwenda Chato, mara moja kwa wiki, sasa imesimamisha safari zake. Ofisa Uhusiano wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben akijibu swali la...
7 Reactions
65 Replies
6K Views
Wakuu, Mwanasiasa John Mwanga (78), aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025. Mwanga, ambaye aliweka historia...
0 Reactions
2 Replies
331 Views
Chama cha ACT wazalendo kimeamua kuwashitaki viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kukamata watu kinyume na sheria na kuwapiga pamoja na kuingia zoezi la uandikishaji wapga kura...
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi. Amesema pia...
2 Reactions
4 Replies
297 Views
Prof. KITILA MWANASIASA MSOMI ,SOMO JEMA KWA WASOMI NCHINI. Profesa Kitila Mkumbo ambae aliwahi kuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa...
0 Reactions
6 Replies
132 Views
ANGELINA MABULA ATUHUMIWA KUTENGENEZA MPASUKO CCM, UBADHIRIFU WATAJWA Mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, Angelina Mabula ameingia katika vita kubwa na viongozi wenzake wa Chama cha...
1 Reactions
12 Replies
598 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amemsifu Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, kwa kujitoa kwa wananchi licha...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu...
2 Reactions
8 Replies
325 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza kutafutwa aliko Mbunge wa Jimbo la Mwibara Charles Kajege kufuatia Mbunge huyo kutohudhuria vikao vya kujadili maendeleo vya huo toka apate ridhaa...
3 Reactions
10 Replies
792 Views
Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu: Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea...
1 Reactions
3 Replies
145 Views
Sekretarieti ya Mkoa Wa Kagera Ikiongozwa na Katibu Wa Chama cha Mapinduzi Ccm Mkoa Wa Kagera Imeanza Ziara ya Kukutana Na Wazee Wa Wilaya Zote zilizopo Mkoani Kagera Kwa Lengo Akiongea na...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
81 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dkt Wilbroad Slaa ameeleza kuwa makosa yanayofanywa na serikali yanawapa wao (wapinzani) nafasi ya kutambulika dunia nzima, mathalani yeye kufungwa kwake...
3 Reactions
26 Replies
811 Views
Mbunge wa Chang'ombe, Juliana Shonza, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri kwa wananchi wa Wilaya ya Songwe kwa kujenga hospitali ya kisasa. Shonza alieleza kuwa hospitali...
1 Reactions
0 Replies
91 Views
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania...
72 Reactions
359 Replies
10K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe...
1 Reactions
0 Replies
244 Views
  • Redirect
Yaani nicheka sana 😂😂😂😂😂 Kwamba Kalemani hajui kwamba huko hakuna faida Kibiashara ndio maana ndege zimeacha Kutua? ==== MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom