Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga.
Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia...
Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi.
Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote.
Yaani wenye uwezo mkubwa...
Kufuatia tuhuma inayokukabili ya ubadhilifu na utakatishaji wa pheza, uongo na wizi wa mali ya uma inasemekana kuwa hayo yote yanayomkuta ni laana ya wananchi wa mtwara zidi ya uongozi wake wa...
Wakuu,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (Mb), amesema Mawaziri Watatu, akiwemo yeye, Waziri wa TAMISEMI, na Waziri wa Elimu...
Heshima sana wanajamvi,
Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana.
Makonda alianza...
Hoja za CHADEMA kuhusu uchaguzi zipo very clear.
CCM/Serikali kushindwa kujibu hoja hizo ni kuwatangazia Watanzania na Dunia kwamba madai ya CHADEMA ni sahihi na ni sahihi kweli kweli.
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Mweyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kibiti, Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa Wanawake wa chama hicho Wilayani Kibiti kusimama kidete na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Kigali, Rwanda
RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI
https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa...
Ikifika mahali kila mwananchi anaona kabisa kuwa nchi "inaliwa" na wenye madaraka, ile sense ya uzalendo kwa anayejitambua lazima ife! ndipo tulipofika kwetu hapa!
Mtu atajifanya, atahubiri...
Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Profesa Hozea Mayaya, amesema kuwa APRM Tanzania ni taasisi muhimu kwa taifa, kwani tafiti zake zinachochea maendeleo katika nyanja...
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani Machi 08, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kimkoa wa Mbeya...
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Bajeti ya mwaka 2025/2026 kipaumbele kikubwa kitakuwa ni utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na Sekta...
Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia...
YAJAYO YANAFURAHISHA SANA
Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter,
Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka...
Wakati akihojiwa na DW!
Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.