Serikali imeidhinisha matengenezo ya barabara za Mkoa wa Mara kwa jumla ya shilingi Bilioni 42.166 kwa mwaka wa fedha 2024-2025.
Kauli hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi...
Marekani ndio nchi iliyoanzisha democrasia katika mfumo wa vyama vingi.
Marekani kupitia IMF , WORLD BANK, wameineza sera ya democrasia, katika nchi masikini kuanzia miaka ya 1980s. Nguvu ya uma...
Ni kwasababu hawana mipango na sera zinazogusa mahitaji muhimu ya kila siku ya wanainchi?
Ni kwasababu ya ubinafsi, uchu na tamaa za vyeo na madaraka walionao, kiasi kwamba hawana muda wala haja...
Taifa lina utani sana hili yani watu wenye matatizo wananmchangia mtu mwenye pesa akaendelee kuzichota pesa. Na hawa wamefanya hivi kwa sababu hiyo maboboda yenyewe wamepewa na Tulia huyo huyo...
Taarifa rasmi zinaonyesha kuwa Mzee Reginald Abraham Mengi(77yrs) amefariki dunia.
Mengi amefikwa na umauti akiwa huko Dubai (UAE) alikokuwa kwa matibabu.
Mzee Mengi alizaliwa mwaka 1942 mkoani...
Paul Makonda ni kama anaendelea kujitengenezea jina huko Arusha kwa ajili ya ubunge.
===
Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, akimshika mkono kijana mjasiriamali anayeuza nyanya mitaani, ishara ya...
Katika kuendelea kuwafanya Watanzania ni wajinga na watu wasiojua chochote, nimewasikia Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira na Mwenezi wao Amos Makalla wakidai kuwa, yalishafanyika...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika...
Kwa mujibu wa takwimu za NBS, watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi karibu asilimia 65 wameajiriwa kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo.
Nchi hii imekuwa na baraka sana ya kupata neema ya hali...
Umoja wa madereva wa bodaboda wa Mbeya Mjini umemtaka Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Tulia Ackson, kurejea kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ili aendelee na kazi...
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu...
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya No Reform, No Election, akisema kuwa si msimamo...
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Mwedia, Dar es Salaam.
Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, tawi, kata na wilaya katika Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam...
Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM), Stephen Masele amesema kusimamia misingi ya haki za binadamu asitafsiriwe kuwa ni mtovu wa nidhamu.
Alisema hayo jana baada ya kutoka katika mahojiano na Kamati...
Hayati Magufuli akiwa kwenye Kampeni Shinyanga aliahidi kumpatia huyu jamaa nafasi kwa kumshawishi amuunge mkono Katambi ambaye kama isingekuwa vile sidhani kama angekuwa hapo alipo sasa.
Je...
Mwakyembe illness common in TZ: doctors
By Polycarp Machira
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The disease that deputy minister for Works Dr Harrison Mwakyembe has been...
Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia
Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele.
John Pombe...
Haya mambo yanafikirisha sana asee.
Why vijana wanqtendewa hivi? Sasa ni muda wa serikali kujitafakari.
Katika fukuto la ukosefu wa ajira Kuna mtu anakuja kusema vijana wasifikirie ajira za...
.Acheni tu usaili wa walimu ubakie hivyo wazee. Labda kama kuna marekebisho basi yafanywe ila inerview ibaki.
Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.