Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali...
36 Reactions
198 Replies
7K Views
  • Redirect
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina ameeleza kuwa baadhi ya viongozi Serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Akizungumza katika...
0 Reactions
Replies
Views
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Habari...
10 Reactions
73 Replies
4K Views
Siongezi neno wala kupunguza wasikilizwe https://youtu.be/b-tiEoJxrdY?si=f-eo_kC1Mn5dgiTc
1 Reactions
2 Replies
163 Views
"Msikate TAMAA kabisa , endeleeni kutuma pesa hata kama mnakutana na changamoto kama hizi. Mwisho wa uhuni umekaribia sana." - Godbless Lema Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
2 Reactions
22 Replies
525 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kwani...
0 Reactions
8 Replies
225 Views
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kata ya Hinju, halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya kisasa ya kata, iliyogharimu zaidi ya shilingi Milioni...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
120 Views
Waziri Kombo akutana na Mwakilishi wa UNFPA nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkazi wa...
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
6 Replies
258 Views
  • Redirect
Mimi Sina maneno mengi nawaachieni ulingo Are you ready!!!
0 Reactions
Replies
Views
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya. Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado...
10 Reactions
91 Replies
2K Views
Wakuu, Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya. Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0 Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa...
1 Reactions
7 Replies
315 Views
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta...
8 Reactions
14 Replies
375 Views
Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October. === Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor...
0 Reactions
6 Replies
156 Views
ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, sasa ameamriwa kufika mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam, tarehe 3 Februari 2022, kujibu...
26 Reactions
224 Replies
19K Views
“Hao wanaojitoa ufahamu kwamba No reforms no Election hayo ni maneno ya kwenye kanga, Reforms zinafanywa na bunge ni mambo ya kisheria, naomba msidanganywe tupo tayari kwa uchaguzi, na hao...
3 Reactions
21 Replies
592 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
2 Replies
450 Views
“Asilimia kubwa ya vijana ambao wanatekwa ni vijana wa upinzani ni vijana WanaCHADEMA ni vijana wanaharakati. Kwa kuwa watu wanaotekwa ni watu wenye mrengo huu wa kimageuzi ni watu wanaoiunga...
4 Reactions
15 Replies
445 Views
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania. Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki...
1 Reactions
0 Replies
96 Views
Back
Top Bottom