Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi...
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, amewataka wasanii wa Tanzania kutumia ushawishi wao kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kuna wakati, mambo mabaya hutokea yakiwa yamebeba dhamira njema. Watu wa imani wanalifahamu hili. Yawezekana ukawa unataka kusafiri kwa basi, usiku ukaugua ghafla, ukasikitika sana kwa sababu...
Mheshimiwa Rais popote ulipo, na mheshimiwa Awesso, ni miezi mitatu sasa hatujui maji wakazi wa Ubungo Kibangu mtaa wa Kajima tunaomba msaada wenu viongozi wetu hali ni mbaya sana.
Tuna miezi...
Robert Amsterdam naye ni wakili wa Bobi Wine....
Imenikumbusha kipindi kile cha kukaribia uchaguzi....zile NGO's ambazo zilitumiwa kupitisha fedha kutoka kwa wafadhili kwenda kwa CHADEMA....na...
Ninaishauri serikali ya Tanzania kupitia Bunge, kutunga na kuingiza Sheria ya mitaala mipya ya elimu kwenye katiba ya nchi.
Huu ni hatua muhimu katika kuhakikisha mfumo wa elimu unakuwa thabiti...
Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Pia, Rais Samia amepata fursa ya...
Salaam Wakuu,
Toka kampeni ya Tone Tone izinduliwe kumekwa na changamoto ya mtandao ambao haieleweki eleweki.
Wakati wameshazindua na wakawa wanaitana mbele kila mmoja kuhamasisha watu wake...
Kipenzi cha wana Mbeya mama anayejitoa kwa kiasi kikubwa sana katika kuwahudumia wananchi wake na Tanzania kiujumla Dk Tulia Ackson. Ameendelea kufanya makubwa hadi duniani.
Leo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 3 Machi, 2025
Uganda wako serious na PPP
---
This is fantastic news! The groundbreaking step on the Kampala—Jinja Expressway PPP Project marks a huge leap forward for our infrastructure. we're confident that...
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama...
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, imekuwa ikikabiliwa na changamoto za uchaguzi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za udanganyifu wa uchaguzi (electoral fraud). Hali hii inachangia...
Je kwanini Maridhiano na 4R zime mshinda Raisi Samia? Kati ya sababu hizi
1. Raisi Samia alikuwa hana nia alitumia muda kujiweka sawa
2.Raisi Samia alizidiwa na makada vigogo ambao hawataki...
Kuna baadhi wameanza kulia kweli kweli kwa kwikwi wakilaumu suala hili, but my opinion our Neighbor, aingie mkataba wa win win situation, ili US Ifaidike na DRC Ifaidike, badala ya kuwa mali...
Na Mwandishi Wetu – Songea
Leo hii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameendelea kurudia madai yale yale yasiyo na mashiko kuhusu mfumo wa uchaguzi na usawa...
Kijana Ambaye alitamba Miaka kadhaa nyuma ameonekana kuendelea kukata tamaa.
Tukumbuke Makonda ni nani
Makonda akiwa na cheo cha Mkuu wa wilaya Kinondoni aliwahi kuja na mapendekezo na Maagizo...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa kumsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) Mkoa wa Tabora, Mayala Mburi, kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.