Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mzee Thabo Mbeki akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa...
Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa umoja huo, Rehema Sombi wamempigia simu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakimkaribisha mkoani humo ambapo...
Paschal Mayalla
I. UTANGULIZI
Makala ya Paschal Mayala katika gazeti la Nipashe, toleo la Jumapili, tarehe 23 Februari 2025, imenikumbusha matukio ya kisiasa ya mwaka 2022.
Tarehe 20 Mei 2022...
Mama hivi , mama vile... unamwangalia huyu unamwona njaa inamsumbua na ameshamkana mama yake kwa sababu ya vipande 30 . Rais si mama wala baba yenu. mama yako akikusikia unaiya ita wa mama wa watu...
Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu...
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, walipokutana Uwanja wa Ndege wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa maridhiano ndani ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara na kuwajeruhi, na kwamba wamejifunza kutokana na...
Hii kitu naiona Mimi peke yangu au wengine mnaona?
Kwanza nasema hakuna jeshi Bora na lenye nguvu East and central Africa Kama jeshi la wananchi wa Tanzania kwa sababu ambazo siwezi kuzitaje...
===
Akihojiwa na kituo Cha Utangazaji Cha Wasafi Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Mhe David Kafulila amesema nia ya Rais Samia ni kuona miradi yote yenye sura ya kibiashara...
Kama unakuwa msomi na huzijui haki zako za msingi ni heri upokonywe vyeti vyenyewe.
Si wasomi wote wataajiriwa na serikali au sekta binafsi ila ni sharti kuwepo na usawa katika ajira. Bila kijali...
Wakuu nipo Live Jambo Tv namsikiliza Mheshimiwa Tundu A. Lissu Juu ya No reform no election akichambua kiundani matatizo ya kimfumo na kikatiba ya Mfumo wa uchaguzi na jukwaa la wahariri Tanzania...
Wakuu,
CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi...
Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu.
Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie...
MHESHIMIWA RAIS MUNGU AKIKUPA NAFASI HUWA HAIJIRUDII MARA MBILI na KUMBUKA kwamba anataka wakati wote utumie uta wala wako kwa hekima.
1. Ipe ZANZIBAR UHURU KAMILI kwa kuandika KATIBA ambayo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema tangu serikali ya Tanzania ifanye marekesho ya sheria na miongozo yake mbalimbali sasa...
Wananchi wa Jimbo la Muhambwe Mkoa wa Kigoma amefurahishwa na maamuzi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM 2025 yaliyompitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa Tanzania katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.