Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kibiti kusimama kidete na Rais Dkt Samia Suluhu...
Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti
Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji...
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Leo nimekusikiliza ukiongea kwenye kikao kazi cha wakuu wa taasisi za umma Dodoma. Umeongea mambo mengi mazuri, makubwa na ya msingi kwenye hotuba yako ya ufunguzi. Umezungumzia changamoto...
Naomba nitofautiane na watu wengi wanaoshangazwa na Mgombea wa ccm kuanza kampeni miezi 12 kabla ya uchaguzi, unapoanza kampeni mwaka mmoja kabla ya uchaguzi unatoa nafasi kwa Wananchi wakuchoke...
Ziara ya Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe yazidi kupamba moto Jimboni akiongozana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Sekretaileti ya CCM Wilaya ya Kibondo chini ya...
Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu?
Au ni...
Kuna video clip inasambaa mitandaoni mwanajeshi wa Tanzania akishachiwa na police wa Rwanda hakika Mimi kwangu niliona ni kawaida tu
Maana umeingia nchi ya watu lazima waangalie kama hauna kitu...
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.
...
Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA?
KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM?
Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na...
Wakuu
Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mahida Waziri Amekabidhi zawadi ya Mitungi ya Gas kwa kutoka kampuni ya Taifa Gas na Kiwanja kwa washindi wa shindano la Kupika Pilau...
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu alivyomuelisha Kada wa ccm Balile wa Jukwaa la Wahariri
Lissu amedai kwamba Watumishi wa Tanzania wanawajibika kwa Rais na wanaweza kutimuliwa kazi...
Wana madai ya Msingi sana.
UHALISIA ULIVYO
Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma...
Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya...
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaofanyika mkoani...
Wakuu
Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea...
Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko
Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mara nyingi amelalamika juu ya Wizi wa kura wakati wa uchaguzi na hasa uchaguzi wa 2019, 2020, 2024. Sasa ni wakati muafaka wahusika wakatoka HADHARANI kukanusha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.