Whethe mpango huo wa kitapeli utafanikiwa ama laa, lakini mwisho wa siku pesa ndio itakayo wagombanisha na kuvuana nguo hadharani uongozi mpya wa chadema. Ni suala la muda tu kwa jambo hilo...
Pascal Mayalla mara nyingi kwenye midahalo ya kisiasa umekuwa ukijitambulisha kwamba wewe ni mwakilishi wa JamiiForums.
JamiiForums ipi unayoiwakilisha, ilihali wewe ni kada wa CCM? Je...
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?.
Ni majenereta...
Mwanachama mwenzetu akipata nafasi ya kutuwakilisha kwenye matukio makubwa na akipata nafasi ya kuchangia chochote ni vyema tukampongeza kwanza kwa ujasiri wa kujiweka public mbele ya kamera na...
Hakuna ubishi. Kila binadamu ana pande mbili. Anapendwa na kuchukiwa. Ana furahisha na kuudhi. Ana ubora na udhaifu. Anavutia na wakati mwingine kuudhi. Je kama utaulizwa ni kwanini unampenda au...
Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same...
Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena.
Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM ) Rehema Sombi Omary amewataka Viongozi wa UVCCM Mikoa yote Nchini kuandaa Kambi za Mafunzo maalumu kwa Vijana ili Kuweza...
Habari wadau
Nazani wote tunaona Trump anachofanya.
Trump mwenyewe ni tajiri kweli kweli kuanzia yeye mwenyewe, ukoo wao na mpaka familia yao wote ni matajiri kweli kweli.
Pia Trump anaongoza...
Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za...
Baba Magufuli pumzika Baba, pumzika kwa maana wewe umtimiza ule usemi "Kuliko ishi pasipo maneno yana ishi basi ni bora kulala ukiacha maneno yatakayo ishi kizazi hata kizazi.
Baba wapo wanao...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya...
Mdau wa maendeleo mkoani Iringa Elia Kitomo amekabidhi mifuko 10 ya simenti katika shule ya Msingi Ibogo inayopo kijiji cha Magubike kata ya Nzihi ndani ya jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Kitomo...
Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana...
4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana.
REFORM:
Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya...
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kulaani vikali kutekwa kwa wananchi wawili Dar es Salaam na Kigoma katika mazingira yanayotia shaka, huku Jeshi la Polisi likionyesha...
Kinda sorta like Trumpism without Trump, I hope we are headed towards Magufulism without Magufuli.
Not that I wanted him to die nor relished his death. Far from it.
I wish the mantra of ‘hapa...
Wasalaam
Mungu wa binguni alitupa hii hazina tukaipoteza na kumpoteza mweka hazina. Hayati mwendazake alitengeneza njia sahihi kuhakikisha tunajitegemea kwa madini yetu, ajabu amefariki na upigaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.