Wakuu,
Drama za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda zinaendelea.
Hivi karibuni amesema kuwa kwa Arusha ni marufuku kwa wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa mkoani Arusha
"Katika mkoa huu...
Natamani kuona CHADEMA ambayo hata ikikumbana na mitikisiko, watu wanatafuta suluhu ndani kwa ndani bila kuvurugana wala bila kurudisha harakati nyuma sabab watu ambao kwakawaida huondoka chadema...
Wakuu
Huko Arusha, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amesema kuanzia Jumatatu Machi 3, mpaka Machi 7 kila Mwanaume wa Arusha am-post mpenzi au mke wake kwenye mitandao ya kijamiii kuonesha upendo...
Kuna namna nchi yetu ipo jalalani tena pakubwa mno.
Jana nilipoona mjadala kati ya Chadema na wahariri wa vyombo vya habari nikajikuta nakumbuka haya:
1. Hivi mara ya mwisho kuwa na mjadala wa...
Wanaosema Tanzania tuna utamaduni wa chaguzi na twende tu hivyo hivyo hata kama tunajua kabisa kura hazijesabiwi kabisa toka 2019. Lissu na team yake wametoa data za kila kitu lakini cha...
Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe amekua Mgeni Rasmi kwenye uzinduzi wa kuelekea maadhimisho ya kumi na moja {11 ya siku ya Wanyamapori Duniani ambayo kitaifa...
Mwenyekiti wa Chairman Mh. Tundu Lissu ni kiongozi wa chama aliyebeba maono ya wengi humu JamiiForums. Ni maono ya kuiona Tanzania ikipiga hatua. Tofauti na kiongozi wengi wa serikali na CCM...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Wakati napitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo, nimefanikiwa kumuona huyu mwanajeshi wa Tanzania anayelinda amani huko DRC akipekuliwa vikali...
Kauli mbiu ya Chadema ya "No Reform, No Election" imetolewa tena kwenye mkutano na wahariri. Hata hivyo, msimamo huu si wa kisheria, wala hauna mantiki ya kidemokrasia. Katika mazingira ya sasa...
Mwaka 1994 nilitumia wiki nzima kutoka Dar mpaka Chidya secondary, mwaka uliofuata nikahama shule, mto rufiji ilikuwa balaa, Mkapa aluvyoingia madarakani akajenga daraja.
JPM kwa kinywa chake...
Ndugu zangu Watanzania,
Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania...
Tanzania Yakanusha Madai Usafirishaji wa Silaha Kwenda DRC |Tanzania Denies Weapons Shipment to DRC
https://m.youtube.com/watch?v=tFlpuW29ygw
The statement also dismissed claims that the vessel...
Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi?
Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana...
Ktk hali ya kawaida, kwa wanasiasa wenye tamaa ya madaraka na uroho wa kutumia vibaya rasilimali za Wananchi sio rahisi mwanasiasa kusema bora tuache kwanza uchaguzi aliyepo aendelee ili apate...
Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema:
"Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.