Haina ubishi. Mfumo wa uchaguzi wa Tanzania upo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Hata Anthony Diallo aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza alishathibitisha. Nape ndio...
Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi amesema, ziara waliyoifanya kwenye baadhi ya viwanda mkoani Pwani wakiambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
WASIRA- VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VIENDESHWE KWA KUZINGATIA MAHITAJI
====
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu shabaha ya...
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia,wanawake na makundi maalum Doroth Gwajima amesema kuwa serikali inampango wa kuifanya siku ya wanaume duniani 19 november kuwa rasmi kwa maadhimisho ya siku...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao...
Ilikuwa saa 5 usiku Machi 17, 2021. Nilikuwa ndani ya gereza la Ruanda mkoani Mbeya, selo namba 16. Kelele za selo nyingine zilinishitua. Ikizingatiwa kuwa kelele haziruhusiwi nyakati za usiku...
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu,ameshiriki na wananchi ujenzi wa msingi wa Zahanati ya...
Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Dodoma ametembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya Katibu na kuchangia tofali 500 na mifuko 10 ya...
Mungu akulinde Jamhuri yangu na watu wangu wa Tanzania.
Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo...
CAG kwenye ukaguzi wake kwa mwaka wa fedha 2020/2021 miongoni mwa mambo mengine, alitoa hoja ya ukaguzi wizara ya Ujenzi na Uchukuzi -Mamlaka ya viwanja vya Ndege Tanzania ya kulipa fidia kwa...
SIku chache baada ya matangazo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema kusema kuwa wamechangiwa milioni 64, tayari chama hicho kimetoa taarifa kuwa Tundu Lissu atakwenda Uganda kwenye shughuli za kikazi...
Utopia ni delusional ya Thomas More , and it does not exist .Be informed!
Suala la Mama kwenda Nairobi kumuona Lissu halina uhusiano na harakati za no reform no election .
After all , kama...
Wakuu
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, amesema hatakaa kimya wakati baadhi ya watu wakiendelea kuendeleza ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, hali inayorudisha nyuma...
Kuna tatizo kubwa hapa, haiwezekani ajali tu ifanye huyu mama anyanyasike na watoto wake. ATENDEWE HAKI tafadhali. Haya ndo matatizo halisi mnayopaswa kuyasikiliza na kuyatolea ufumbuzi wa HAKI...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Kashim Shettima Mustapha, Makamu wa Rais wa Nigeria, walipokutana Uwanja wa Ndege...
Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Emmerson Dambudzo Mnangagwa akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuona umuhimu wa kuendesha mafunzo hayo na ni wazi kuwa mafunzo hayo yataongeza uelewa na tija kuhusu masuala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.