Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema kuwa Serikali inapaswa kutambua kwamba vijana wanaoikosoa hawataisha milele. "Watu...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii wilayani...
Tanzania ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuwa tafiti zinaonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Kwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi.
Ameeleza kuwa njia pekee...
Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile...
Wakuu,
Akiongea na wanawake wa mkoa wa Ruvuma katika kongamano la wanawake wa mkoa huo Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma, Mhe Jacqueline ngonyani Msongozi amesema mwanamke kuwa na kipato sio...
Mtu aliyetunga jina la taifa la Tanzania, Mohamed Iqbal Dar, amefariki dunia akiwa usingizini jijini Birmingham, Uingereza alikokuwa akiishi.
Iqbal alishiriki katika shindano la kutafuta jina la...
Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume.
Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, amesema hatakaa kimya wakati baadhi ya watu wakiendelea kuendeleza ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, hali inayorudisha nyuma...
Wakuu
Costa Boy amesema hana mpango wa kuifuta tattoo aliyochora kwa upendo wake kwa Waziri Mkuu Majaliwa
==
Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na...
Wajumbe bhana huwa wana risk miaka 5 kwa pesa ya siku moja tu, vijizawadi vya redio na madaftari, halafu wanakuja kulia njaa miaka mitano ijayo.
===
"Watu wanapambana kuwa wabunge lakini hawajui...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...
Wanabodi,
Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the...
Mimi ni Mwandishi wa habari na mtangazaji Elimu yangu ni ya Kati.
Nina wazo la kufanya Kipindi kuelekea Uchaguzi mkuu mwaka huu ila Changamoto sina Jukwaa yaani sijaajiriwa kwenye media hizo...
Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kupitia kikao chake cha dharura cha Kamati ya Siasa ya mkoani humo imekanusha vikali taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa...
"Bahati nzuri Kwa Mwaka huu Kwa maamuzi ya Chama, awe mbunge awe Diwani jina lazima lirudi, yaani hapo wametusaidia sana, hapo hamna namna lazima lirudi" - Steven Mhapa Mwenyekiti wa Halmashauri...
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko Nchini Uganda kwa ziara ya Kikazi.
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
Najaribu kuwaza kwa sauti, na kisha najiuliza maswali kimoyo moyo ila jibu sipati,.
Ivi wadau kweli Chadema hii yenye nguvu na makelele mengi mtaani wanachama wake wameweza kuchangia milioni 64...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.