Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Salaam Tanganyika! Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja, Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU...
2 Reactions
5 Replies
162 Views
Salaam, shalom! Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi...
8 Reactions
41 Replies
850 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa ‘hakuna uchaguzi bila mabadiliko'...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
=== Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC...
17 Reactions
189 Replies
6K Views
Watu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom. Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA...
19 Reactions
87 Replies
4K Views
Wakuu Hili ni bandiko la ushauri kwa vijana wasio na ajira lakini pia kwa mamlaka za ajira 1. Vijana wote wapaaze sauti kwa mamlaka na bunge kubadilisha sheria zinazopanga mishahara yenye ulali...
2 Reactions
1 Replies
90 Views
Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani...
11 Reactions
38 Replies
529 Views
Na Bashir Yakub, WAKILI 1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI. Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili...
46 Reactions
119 Replies
9K Views
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea...
12 Reactions
61 Replies
5K Views
Wakuu, NSSF BUNGE la Jamguri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amchana Mwandishi wa Habari baada ya kuonekana haelewi dhamira ya movement ya Chama ya No reform no election, amwambia maswali yake ni 'Nonsense' kisa kuzuia...
0 Reactions
Replies
Views
Huko kibangu mitaa ya kajima wananchi wana miezi 3 hawajaona maji Mbunge Kitila badala atatue kero ameleta matank ambayo hayajulikani ni nani mmiliki kwa ajili ya kuuzia wananchi maji Hali ni...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Katika siasa za Tanzania, mada ya uchaguzi na mabadiliko ya kisera inaendelea kuwa na umuhimu mkubwa. Chadema, chama kikuu cha upinzani, kimekuja na kauli mbiu inayosema "No reforms, No election."...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
  • Redirect
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kulaani vikali kutekwa kwa wananchi wawili Dar es Salaam na Kigoma katika mazingira yanayotia shaka, huku Jeshi la Polisi likionyesha...
0 Reactions
Replies
Views
Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali...
6 Reactions
31 Replies
587 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi...
2 Reactions
13 Replies
604 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Wakuu, Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji...
1 Reactions
9 Replies
279 Views
Back
Top Bottom