Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini...
Dkt. Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewataka waislamu wote kuendelea kuutimiza wajibu wa kuuheshimu mwezi wa Ramadhani na kuachana na mambo yote yanayokwenda...
Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia...
Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko.
Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amewapokea na kuwakaribisha Chawa wa Rais Samia huko Zanzibar na kuwaahidi kuwa Serikali ipo nao na inaunga mkono mambo wanayofanya.
Aidha...
Katika nchi nyingi za Afrika, hususan Tanzania, viongozi wa serikali mara nyingi hujifanya wanakemea ufisadi lakini kwa uhalisia hawawezi kupambana nao. Huu ni unafiki wa kisiasa unaolenga...
Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni...
Hii nchi na viongozi wake wanasikitisha sana. Moja kati ya 4R alizokuja nazo Rais Samia ni Mabadiliko (Reforms). Samia alisisitiza mabadiliko katika sekta mbalimbali ili kuboresha maisha ya...
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa onyo kwa watu wote wanaojipitisha katika majimbo kutaka ubunge kabla ya muda sahihi, hivyo kitawashughulikia.
Akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya CCM Wilaya...
Hellow Tanganyika!
Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo.
Sasa...
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano...
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu...
Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza
Kuna...
Taifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya ziada ktk idara nyeti yetu ya siri pamoja na kufanya maamuzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimepata na kupokea Maswali Mengi sana kutoka kwa watu mbalimbali mitaani kuniuliza juu ya sababu ya Mzee Omary Mchengerwa Baba Mzazi wa Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI...
Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan lengo likiwa kuwaondolea wanafunzi adha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.