Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari.
Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana.
Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu...
NI UKIUKWAJI WA KATIBA AU MAJINA YAMEFANANA KATI YA MSEMAJI WA JWTZ NA HUYU MTEULE WA NEC YA CCM?
JPM JITOKEZE KUUELEZEA UMMA KUHUSU UTATA HUU.
Msemaji wa JWTZ ni Kanali Ngemela Lubinga.
Katibu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025...
Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi"
Kupata taarifa na...
Wakuu,
Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa.
Akiwa...
Nani anaaminika na kukubalika zaidi ndani ya chadema na anaweza kua na nafasi nzuri zaidi ya kupewa fursa ya kubeba jukumu hilo muhimu la kupeperusha bendera ya chama hicho, kati ya mwenyekiti wa...
Video mjongeo inayotrend Tiktok na X ikionyesha jinsi wanajeshi wa Tanzania walivyokuwa wakikaguliwa kwenye mpaka wa Rwanda na Congo wakati wakurudi Tanzania wakitokea kwenye misheni ya kulinda...
https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na...
Yaani ukisikiza maswali yao ni ya kishabiki na utoto mwingi wakati viongozi wa Chadema kila hoja walikuwa na data za kuonyesha. Hata maswali ya kisheria watu wa Media wamekuja na vijimameno ya...
Huyu mtu ni smart sana kichwani ,ana maarifa,ujasiri mzalendo, pengine kuliko wandishi wote Tanzania . Maswali yake anayouliza I'li uelewe lazima uwe umewai soma cub
Mungu akubariki sana .
Ukweli ni kwamba Chadema Haina mamlaka ya kuzuia uchaguzi uliopo kikatiba
Endapo wakijaribu vyombo vinavyolinda katiba likiwemo jeshi na mahakama zitakuwa sahihi kuwashughulikia
Wananchi pekee...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke...
This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the...
Igweee nimekaa na kuwaza sana nakusoma comment za waja nyingi sana ila jambo nimekuja kugunduwa JK ana akili sana tena sio wakumchukua poa. JK ni mwanajeshi mstaafu nje ya Urais na anakumbuka...
Joto la siasa mkoa wa Arusha hasa Arusha mjini limeanza kuchomoza kwa Kasi lakini kwa hulka ya Paul m
Makonda na Mrisho Gambo mambo yatakuwa mabaya sana
! Inaonekana Makonda amesahau kwamba yeye...
===
Chuo Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Zacharia Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa lake la Tanzania.
Mkuu wa chuo...
Zamani awamu za nyuma, kulikuwa na wazee wa Dar es salaam.
Hawa mara kwa mara wangeweza kufanya vikao na mkuu wa nchi kuhusiana na mambo mbalimbali ya nchi.
Awamu iliyopita ni kama walipuuzwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.