Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Awali ya yote nianze kwa kukutakia uzima na afya katika kutekeleza majukumu yako.
Baada ya salamu hizo nije...
Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wilayani Nyangh'wale Mkoani Geita wameaswa kutojiusisha na Vitendo vinavyoweza kupelekea kuvunja amani sambamba na kutojihusisha na Shughuli za kiuhalifu .
Kupata...
Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Victor Makundi amekitaka Chama cha Wanasheria nchini, Tume ya maadili ya Mawakili na Mahakama kuu...
Kifungu cha hii imani tukufu:
2) Kila mtu astahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake....".
Chawa hawa ni wazalendo wa kuigwa kwa kuiendeleza imani hiyo na tunu za taifa letu.
Rais...
Tundu Lissu bado anawaamini wajomba wa nje kwa kuwapelekea malalamiko yake. Rais Trump ni chaguo la Mungu pale anapotufundisha kuwa ili kupambana na ukoloni mamboleo basi uwe na MISULI yako...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wapo baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaounga mkono kauli ya chama hicho ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi inayojulikana kama...
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo (Makurunge), Saadani, na Tanga Pangani.
Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani utagharimu...
Ndugu zangu Watanzania,
Taifa letu linaendelea kuwa lenye baraka na Neema kwa sababu linaongozwa na kiongozi Mwenye hofu ya Mungu, kiongozi Mcha Mungu,kiongozi mnyenyekevu, kiongozi mwenye kuishi...
Wanabodi
Leo asubuhi nimeianza siku vibaya, kwa bandiko la Mkuu Maxence Melo kuhusu msiba huu.
Wakuu,
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa...
Leo gerson msigwa akiongea na waandishi wa habari anasema serikali haiwezi kuajiri walimu wote kama ambavyo haiwezi kuajiri waandishi wa habari na fani zingine. Na akaongeza kwakusema kua serikali...
Hellow Tanganyika!!
IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema,
Msalipo,semeni hivi:
BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe...
===
Akihutubia wananchi wa Mkoa wa Tanga Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewaambia Wananchi hao kuwa Serikali yake kwa kushirikiana na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025.
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Rais wetu kipenzi cha Watanzania wote Dkt Samia Suluhu Hassani, hakika kazi unayoifanya ni kubwa sana maana kila kona ni maendeleo.
Kwenye huduma za afya umeweka hela nyingi kama vile ujenzi wa...
RC Albert Chalamila akitangaza OPeresheni Dada Poa, MKoani Dar
1. Usuli
Tarehe 31 Oktoba 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuanza msako...
Hellow Tanganyika,
Nchi yetu Ina mfumo wa vyama vingi vya siasa,
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na ikitokea Watanzania wakaamua kuipa CHADEMA kuongoza Nchi kutokana na udhaifu au kutokubalika...
Mambo matatu ya kipekee kwenye msafara wako mama.
1 . Msafara wenye magari machache. Ni mara chache kuona si kwenye video, na misafara mbalimbali magari kama kufuru. Msafara wako ulinivua sana...
Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine.
Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.