Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD
Mkataba huu (wa uendelezaji...
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza...
JWTZ
Najua mnafahamu kuwa endapo lolote likitokea Uganda hata leo, Rais anayefuata wa Uganda ni Generali kichaa Muhoozi Kainerugaba.
Najua mnafaham kuwa Muhoozi na Mjomba wake Kagame wanaamini...
Mbona BAWACHA wako kimya sana? Tarehe 8 ni siku ya wanawake duniani lakini hatuoni kitu kwenye social media account zao. Hii sio kawaida yao.
Amandla...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia tiketi ya CHADEMA, Aida Khenani apokelewa kwa kishindo Jimboni kwake akielekea kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani ambako leo Machi 04, 2025 Wanawake...
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na...
Wakuu aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA Taifa, Odero Odero alipofanya mahojiano na Edwin Odemba amegusia suala la wale wa kila jambo tunamshukuru mama, tunamshukuru Rais, yani...
Katika Hali ya Kutia Moyo na kuonyesha mshikamano kwa kiongozi wao, Wananchi wa Kata ya Katangara Mrere wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro wameamua Kufanya maombi kwaajili ya kumuombea Mkuu wa...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya...
Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC).
Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao...
Joseph Mbilinyi ambaye pia ni Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa amepokelewa na Maofisa wa serikali ya Marekani.
Jambo kubwa zaidi ni kutambuliwa kwa ziara hiyo na mamlaka za Nchi hiyo...
Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho.
Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea...
Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa...
Wasalaam
Kama hizi ndo akili za mtu mwenye CPA basi kama taifa tunasafari ndefu sana na tutafika tumechoka. Yaani mtu anaona kabisa hii ni rangi ya blue kisha anawadanganya watu wazima kwamba hii...
Historia inatueleza bayana Hayati Magufuli na Paul Kagame walitokea kuwa marafiki wakubwa kupata kutokea!
Urafiki wa wawili hao ulikuwa wa kufa na kuzikana hali iliyopelekea waaminiane kwa kila...
Ndio unaweza niita Mkoloni au Mfuasi wa Mfumo Dume , Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kwamba, Kuna Nafasi za Kiuongozi na Kiutendaji hazitakiwi kupewa Wanawake Kwa sababu tu ni Wanawake !!.
Badala...
Hakuna asiye juwa kasia aliyetuleteaa bashiru akishirikina na jiwe ktk kukandamiza democracia na kudidimiza utawala bora, utawala unayo fata sheria.
Bali wao na jiwe waliteka nchi nzima na kutaka...
Waziri Kombo akutana na mwakilishi wa UNICEF
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia Idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.