Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali kitendo cha kuzuiliwa kwa Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, kuingia nchini Angola, ambako alipaswa kushiriki mkutano...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali...
Mbunge wa Manonga Self Hamis Gulamali akieleza namna serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilivyoleta maendeleo jimboni kwake.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Mbunge wa Jimbo la Manonga Seif Khamis Gulamali Amuomba Waziri Mkuu Shule moja jimbo la Nzega Vijijini ipewe jina la Mbunge wao Dkt. Khamis Kigwangala.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
𝗨𝗰𝗵𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝘂𝗹𝗶 𝗠𝗯𝗶𝘂 𝘆𝗮 𝗖𝗖𝗠 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗠𝗸𝘂𝘂 𝟮𝟬𝟮𝟱: "𝗞𝗮𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝘁𝘂, 𝗧𝘂𝗻𝗮𝘀𝗼𝗻𝗴𝗮 𝗠𝗯𝗲𝗹𝗲"
𝗡𝗮. 𝗝𝘂𝗺𝗮 𝗦𝗮𝗶𝗱, 𝗧𝘂𝗺𝗯𝗮𝘁𝘂 - 𝗨𝗻𝗴𝘂𝗷𝗮
Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
Wakati Tume ya Huru ya Uchaguzi nchini (INEC) ikiendelea na uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura katika mikoa mbalimbali, vijana wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiandikisha ili wapate...
SIMBACHAWENE NA MKENDA WAKUTANA NA VIONGOZI WA NETO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema Serikali itaunda timu ya...
Wakuu
Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na...
Wakuu,
NETO walikuja na moto baada ya kuicharukia serikali kuhusu ajira za walimu na suala zima la wao kufanyiwa usaili. Jambo hili lilipokelewa vibaya na serikali ambako viongozi wao wa juu...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20...
Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu.
CCM 2025 ✅,
KAZI NA UTU...
Wakuu
Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema
"Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema...
Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia...
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu...
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ameiomba Time Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kufanya mjadala wa Kitaifa na wadau...
Obeid Mwalopale Mkazi wa kijiji cha Matema kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya aliyemuomba Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kumjengea nyumba ya kuishi yeye pamoja na familia yake hatimaye...
Mlezi wa Kikundi cha Marsho Manufacturing Company kinachojishughulisha na shughuli za ujasiriamali kupitia zao la ndizi ambae pia ni Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda, Jumanne ya March 11,2025...
Wabunge wa Mkoa wa Simiyu wamesusia kongamano lililoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kihongosi kwa lengo la kuunga mkono Azimio la Mkutano Mkuu kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.