Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, wananchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi.
Wito huo...
Waziri Mchengerwa ni kiongozi ulijibebea sifa nyingi kutokana na utendaji wako
Hivyo Kwa tu wa chini yako kuharibu mchakato huu muhimu Kwa maendelea ya vijiji na Miata ni busara achia ngazi...
Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema?
Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17
Inakera sana 😂
Yunus Nurdin amechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Kijiji cha Mihima kilichopo Jimbo la Mtama Mkoani Lindi. Yunus na wenzake walikuwa CCM, wamejiunga ACT wazalendo na kupokewa na Makamu Mwenyekiti...
Pazia la kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwaka huu 2024 limefunguliwa Jana Oktoba 26, 2024 kwa mujibu wa TAMISEMI.
Zoezi hilo...
Kwa miaka mingi tangu nianze kushiriki chaguzi ze serikali za mitaa, sijawahi kuona uchaguzi ambao CCM itashinda vijiji, mitaa, na vitongoji vyote kama mwaka huu.
Ukitaka kujua hili tazame...
Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya...
Wakuu
Mambo yanaonekana kuwa si shwari huko ndani ya Chama Cha Mapinduzi kama tunavyoaminishwa
Siku ya leo wanakijiji wa Mtaa wa Viwandani, Kata ya Unga Limited, wameonyesha kutoridhishwa na...
Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya
Hawa hapa ni Wananchi wa...
Baada ya kuona mchakato wa ndani wa vyama vya siasa kupata wawakilishi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nimeona nije na ushauri huu hasa baada ya kuona watia nia wengi wakiwa wanaume, hadi...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ambaye pia ni Kamisaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewasihi wanachama wa CCM waliokosa uteuzi kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika...
Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya...
Sioni sababu yoyote ya watu kukusanyana kwa ajili ya zoezi la kwenda kuchukua fomu tu ya kugombea, kwangu naona ni ishara kuwa wanaofanya hivi lengo lao wakishindwa kwenye uchaguzi ionekane...
Wakuu,
Hizi ni rushwa kuwashawishi wananchi wafanye wafanye maamuzi, iwe kwa pesa au visheti vyote ni rushwa. Kwanini vinaachwa kuendelea kufanyika? TAKUKURU mnafanya nini?
===
Mkuu wa mkoa...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Oktoba 28.2024 imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa Mahakamani hapo na Watanzania watatu (3) ambao ni Bob Chacha...
Katika sifa za wagombea wa serikali za mitaa, wameongeza sifa moja mpya, eti asiwe mlevi kupindukia, nini kimewafanya CCM kuongeza sifa hii?
Huko vijijini, statehe ya watazania ni pombe, kuna...
Salaam,
Hivi sasa, imekuwa kama desturi katika maeneo ya Uswahilini ndani ya jiji la Dar es Salaam, ambapo baadhi ya wagombea huwalipa wanawake na vikundi vya ngoma ili waje kucheza kiholela na...
Hivi karibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa Mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya TAMISEMI, alisema jumla ya watanzania 31,282,331...
Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.