Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa jumla ya vijiji 12, 333, mitaa 4,269 na vitongoji 64, 274 vitashiriki uchaguzi wa...
Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani...
Wakazi wa Mkoa wa Mwanza wakiwa katika vituo vya Kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakijiandisha na kuboresha taariza zao leo ambapo uboreshaji huo ulioanza Agosti 21, 2024 ukiendelea...
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanapata kadi za kupiga kura.
.
Ni mpango kabambe vijana wengi...
https://www.youtube.com/watch?v=-XzJJFDbKNc
========
Kipenga cha uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, kitapulizwa leo Alhamisi, Agosti 15, 2024 wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni kiini cha utawala bora na uwajibikaji. Katika muktadha wa Tanzania, uchaguzi wa serikali za mitaa una nafasi muhimu katika kuwezesha...
"Rais Samia Suluhu Hassan ni mwana demokrasia wa kwanza katika Nchi yetu, kwahiyo ni wito wake kuwaomba watanzania na wana Dar es Salaam wote kuhakikisha Tunashiriki kwa kiasi cha kutosha ili...
Wasalaamu wanaJF,
Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take.
Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au...
KAMA LEO HII MWANAMKE ATATWEZWA UTU WAKE, WATAWEZAJE KWENDA KUCHUKUA FOMU YA UCHAGUZI?
"Serikali mwaka huu inaingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu, wapo watu...
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham wakati akishiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Roma Kwiro wilayani Ulanga amesema viongozi wa dini wanatakiwa kudumisha amani na...
January 2024
TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA
Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka...
Salaam ndugu zangu,
Aisee kumekuwa na tabia ya viongozi wa Mitaa mbalimbali kugeuza shida za Wananchi kama miradi yao ya kujipatia pesa.
Mpaka sasa kwa hapa Dar es Salaam nimeishi mitaa mitatu...
Salaam Wakuu,
Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Watu wengi tunauchukulia poa Uchaguzi wa hivi kwa kutokuelewa hasa umuhimu na majukumu ya Serikali za Mitaa.
Kabla ya kufika...
Salam ndugu zangu,
Mwaka mwingine wa uchaguzi wa Serikali za Mtaa umefika. Ni wazi kwamba viongozi wetu tulionao walitoa ahadi mbalimbali Uchaguzi uliopita tukawaamini na kuwapa nafasi.
Vipi...
📍Ushetu - WANANCHI JITOKEZE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA-MBUNGE CHEREHANI
Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka...
Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026?
Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi.
Nadhani Watanganyika tusiwaige...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.