Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa...
Baada ya kuzunguka na pitapita zangu nimegundua CCM licha ya kutumia dola kushinda lakini kuna maeneo wanashinda kwa udhaifu wa vyama vya upinzani alafu mwisho wa siku wanatupa lawama kwa vyombo...
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa...
Wakuu,
Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa...
Mwanasiasa Tajiri kuliko wote Mkoani Mbeya, Mwekezaji wa Kimataifa, Ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Bilionea Joseph Mbilinyi, Leo amefundisha habari za Uchaguzi ujao wa...
Joto la Uchaguzi wa Serikali za mitaa linazidi kuwa kali na hii ni baada ya mwanachama mmoja wa CHADEMA kufichua mbinu mpya wanayotumia CCM kuiba na kupora uchaguzi.
Kwenye kikao na baadhi ya...
Wakuu,
Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi?
======
"Tushikamane na serikali yetu na chama...
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo...
Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CHADEMA Tundu Lissu ageuka Mbogo wakati akizungumza katika Jimbo la Kibamba baada ya CCM kuwabagaza CHADEMA katika Uchaguzi wa mwaka 2019 wa Serikali za...
Salaaam Wakurungwa,
Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute...
Atumia fursa hiyo kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu
Katika harakati za kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan anayepambana kupunguza uchafuzi wa...
Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo...
26 September 2024
WANANCHI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 TARIME MJI
Posted on: September 26th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mji...
Tunaendelea na kampeni jamani hata kama muda haujafika.... wapinzani mpo?
=====
Mwezi wa 11 tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, wenye sifa za kugombea wakagombee bila kuwekeana...
Kutokana na Hali iliyojitokeza jana , nashauri ya kwamba CHADEMA watangaze kususia uchaguzi Mkuu ujao na uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hii ni kutokana kwamba Serikali kupitia polisi imeshaonesha...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki kuhamasisha Wananchi kujitokeza na kushiriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
"Wanawake jitokezeni...
Wakuu,
Kama Rais mwenyewe afanya kampenzi za uchaguzi wakati ambao sio stahiki, unategemea wanachama wenzake huko chini watafanya mambo tofauti?
====
Kafanyeni kweli kwenye serikali za mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.