Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa...
Vyama vingine baada ya wanachama wao kugoma kushiriki maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na kudhibitiwa na polisi, wame nyong'onyea, wamesinyaa na wamekua kama wamepigwa ganzi hivi, Lakini pia...
Chadema wanishawishi, maana naona iwe jua iwe mvua ccm itashinda. Sasa waniashawishi.
1. Hawatalalamika kama kura zao zimeibiwa?
2. Watazilinda kura zao?
PIA SOMA
- LGE2024 - CHADEMA ikikomaa...
Wanawake, Umeshajiandaa kugombea nafasi za uongozi au mnasubiri mseme ningekuwa mimi ningefanya hivi, au haya mawazo yanatuumiza Wanawake au haya maamuzi hayawagusi wanawake?
Huu ndio muda...
Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kweli ni kama mashindano ya mtaani tu maarufu kama ndondo.
Lakini pamoja na hiyo CCM inaonekana imepania kiharamu kushinda uchaguzi huu...
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha:
1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko.
2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza...
Habari
Ninacho hisi watu wengi kutokujiandikisha kwenye Chaguzi za Serekali za Mitaa pamoja na kutumika hamasa nyingi
Watu wengi walikuwa wanajiandikisha ili wapate Kadi ya kupiga kura iwe kama...
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi...
Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli...
Wanazingua hawa, hii ilitokea jana na kuripotiwa kupitia ukurasa wa Boniface Jacob (Boniyai).
---
Ustaarabu siyo tabia ya CCM
Hawa ni Watoto wa shule Wamekutwa wanaandikishwa katika daftari...
Wakuu,
Kama bado hujaenda kujiandikisha kupiga kura tafadhali tazama picha hii ya Rais Samia na Nyerere kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye foleni wanasubiri zamu zao zifike...
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba, Uongozi ni Kuongoza Njia, hii ina maana kwamba unapokuwa kiongozi unapaswa kuwaongoza waliokupa dhamana hiyo.
Tofauti na Viongozi wengi...
Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024.
Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata...
Zitto amewataka Watanzania wote kujiandikisha katika mitaa, vijiji, na vitongoji vyao ili waweze kushiriki katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024.
Amesisitiza umuhimu...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa matamu, wakuu mkashiriki kupiga kura tujue kama hawa watu milioni wanaokusanywa kwenye mikutano ni wa kweli au ni janja janja
=====
"Mbali na kupoteza Dira na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.