Mahakama Kuu Kanda ya Songea imetoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa waheshimiwa mahakimu wakazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.
Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewaomba Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mwera kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kuwaletea...
Katibu Mkuu chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa utaratibu wa wasimamizi wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kuwanyima mawakala haki ya kujua idadi (orodha) ya wapiga kura...
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho haridhishwi na zoezi la uandikishaji wa Wapigakura linaloendelea hivi nchini.
Ado Shaibu ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2024 wakati...
Wakuu salam,
Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa...
Lengo la huduma hii ni kuhakikisha changamoto zote za Mawakala wao kwenye Uandikishaji zinatatuliwa haraka iwezekanavyo
Kingine ni kuhakikisha kwamba hujuma zozote zile kama kuandikisha Mamluki...
Wakuu salam,
Leo nilipanga kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, na kweli nimefanya hivyo.
Ukienda kujiandikisha unakuta mwandikishaji yuko na daftari ambako unaulizwa...
Kwa hakika mmeupokea na kuitikia vema wito na wa Rais na Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Samia Suluhu Hassan wa kujitokeza kwa wingi, katika zoezi la kujiandikisha kwajili ya uchaguzi wa serika za...
Fedha za vijiji au kata ni mali za wananchi au mali ya umma ila viongozi wa CCM wakishirikiana na watendaji wa kata na vijiji pamoja na wenyeweviti wao wamekubaliana kuchota fedha za umma kwajili...
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ametoa onyo kwa mtu yeyote atakayeleta vurugu ili kukwamisha zoezi la uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unaoendelea kufanyika Mkoani humo na nchi...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wanawake kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa kuwa wanazifahamu vema changamoto za jamii na pia wanao uwezo wa kuongoza...
Godbless Lema kupitia Akaunti yake ya Mtandao wa X anaandika na kuweka video inayodaiwa kuwa wanafunzi wa kata ya Igama (Njombe au Morogoro) wameagizwa na Walimu wao kujiandikisha kwa ajili ya...
Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha...
Mchungaji Agnes Mangala wa KKKT Usharika wa Highlands ametoa wito Kwa Wananchi wote kujiandikisha Kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa
Mchungaji Agnes Mangala amesema kila mwenye umri wa...
Ukiangalia mwitikio wa watanzania kujiandikisha." Inachekesha sana.
Utaona wazi kwamba hata wajinga wameanza kujua kinacho endelea baada ya uchaguzi/uizi wa kura.
Ukimya wa Watanzania...
Wakuu..
Najaribu kuwaza kwa sauti hapa.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa.
Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.