Angalia hapa kwa makini Afisa uandikishaji anaruka nafasi makusudi badae lazima atapachika majina ya watu.
OR TAMISEMI Haya ndio maelekeozo mliyowapa maofisa Uandikishaji? Bado mnasema huu...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Oktoba 15, 2024 Manispaa ya Songea ameendelea na zoezi la kuhamasisha wananchi wa manispaa hiyo kujitokeza kwa wingi katika vituo...
Tuwe wakweli na serikali pamoja na wadau wengine tutoke kwenye blanketi la unafiki inajulikana wazi kwamba mahali popote ambapo matokeo ya uchaguzi yanatabirika, hakunaga ari ya ushindani.
Watu...
Ndugu Lema, nakusabahi
Miaka michache iliyopita, wakati ukiwa Canada, na Lissu akiwa ubelgiji mlikuwa mkitoa elimu nzito kuhusu demokrasia na mambo ya uchaguzi. Miongoni mwq elimu nzito mlizokuwa...
Katika kata ya Qurus, Wilaya ya Karatu, hekaheka za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 ziliendelea, lakini hali ilikuwa ya kioja. Mussa, msimamizi wa...
𝑵𝒂, 𝑺𝒂𝒊𝒅 𝑻𝒂𝒏𝒌𝒊𝒍𝒆.
Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa novemba 2024, uchaguzi ambao ni kiini muhimu katika usimamizi na maendeleo ya jamii zetu. Katika maandalizi ya uchaguzi...
Hali ya uandikishaji wenye Daftari la Kupiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mtaa siyo rafiki, imefikia hatua baadhi ya Waandikishaji wameamua kuingia mtaani kuwatafuta Wananchi ili...
Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, leo Oktoba 16 ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wakaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa...
Polisi mkoani Njombe wamekamatwa watu wawili wa CHADEMA, Emmanuel Raston Ngelime (44) na Obadiah Tedius Chogwa (47) siku ya Jumanne, Oktoba 15, 2024 baada ya video kusambaa, ikionyesha wakiwa...
Waziri wa TAMISEMI , Mohamed Mchengerwa, ametangaza kuwa uandikishaji wapiga kura wa serikali za mitaa umefikia asilimia 45 ya idadi ya watu wanaostahiki kushiriki tangu zoezi hilo lilipoanza...
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka...
Kuna zoezi linaloendelea kwa ajili ya uandikishaji wa daftari la wapiga kura wa Serikali za Mitaa.
Kila mahali kuna malalamiko dhidi ya waandikishaji wa zoezi hili wakikipendelea Chama fulani...
Mtu mzima kwenda kupiga foleni kujiqndikisha wakati unatakiwa utafute hela hii nayo ni shida.ukimwengu wa kidigitali jamani.
Tehama watengeneze namna mtu anaweza kujiqndikisha online na kuoiga...
Aisha Madoga, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, amekosoa uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Mkazi katika baadhi ya vituo, akisema si sahihi kuwaandikisha...
Ningekuwa mpinzania ningeishinda CCM mapema asubuhi.nachukua ilani ya CCM nawaponda nayo.
Mtu uneahidi kufanya jambo kwa miaka mitano na hujafanya.sasa hapo nikikuambua kuwa wewe ni mwongo,mwizi...
Ndugu zangu, wanajamii Forum TUJITOKEZE kwenye kujiandikisha daftari la wapiga kura serikali za mitaa na vijiji. Kwani Halichukui muda mwingi
..
Majina yako matatu, miaka yako... Sahihi yako tu...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa ameeleza kuwa hajapata uthibitisho wa madai kuwa kuna vituo vya Uandikishaji Wapiga Kura nchini vimeandikisha baadhi ya watu (Wanafunzi)...
CHADEMA kimesema kuwa hakiridhishwi na mchakato unaondelea wa uandikishaji wa wapiga kura kwani kuna kasoro ambazi zimejitokeza.
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA...
Akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara kwenye Kata ya Iyunga, Joseph Mbilinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, amewatahadharisha wazazi kuchunga watoto wao ambao hawakutimiza miaka 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.