Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

https://youtube.com/live/CblBhVLNuYE?feature=share Kutoka mkoani Mwanza, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ameamua kuzungumza na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Let's now be serious from jokes, at least for a moment. Bila shaka kila mmoja anafahamu kuwa kuna uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja mwezi novemba 2024. Baada ya hamasa kubwa kupitia vyombo...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi...
0 Reactions
11 Replies
785 Views
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha , Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu, TAMISEMI wanatarajia kufanya mkutano saa tano hii Oktoba 15, 2024 kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
2 Reactions
6 Replies
273 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa...
21 Reactions
125 Replies
3K Views
Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba...
1 Reactions
18 Replies
776 Views
Leo nipo Dukani walikuja watu kuni hamasisha nikajiandikishe kupiga kula. Pale Dukani kulikua na watu wengi ila majibu ya baadhi ya watu. Walisema " Nikajiandikishe Ili iweje wakati Uchaguzi...
8 Reactions
13 Replies
523 Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, John Kayombo, ameibuka na majibu makali kufuatia madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kuhusu kasoro katika...
0 Reactions
3 Replies
263 Views
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Dodoma Mjini umelalamikia kuwepo kwa vitendo vya hujuma katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali...
1 Reactions
3 Replies
320 Views
Wakati Serikali na wadau mbalimbali wakisisitiza umuhimu wa jamii kuwa na vyoo bora ambavyo vinaweza kuepusha baadhi ya magonjwa yakiwemo ya milipuko, upande wa ofisi nyingi za Serikali za Mitaa...
1 Reactions
3 Replies
516 Views
Katika Jimbo la Hai, hali ya vituo vya kuandikisha wapiga kura ni ya kutatanisha, hasa kutokana na ukosefu wa mawakala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hali hii imezua maswali mengi kuhusu sababu za...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuna figusi zinaendelea kila mahali tunapoelekea uchaguzi serikali za mitaa. Msikilize Shekhe Bashiri Abdalla Mwenyekiti wa Chadema Tarime mjini akielezea kinachoendelea. PIA SOMA - LGE2024 -...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema...
1 Reactions
6 Replies
551 Views
Kada wa CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni amewataka wananchi kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, licha ya changamoto za ukiukwaji wa...
0 Reactions
3 Replies
406 Views
Wakati taifa likiwa linaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi Novemba, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amemuahidi Rais Samia kutumia viongozi watakaochaguliwa na wananchi kwenye...
0 Reactions
4 Replies
391 Views
Wanabodi, Siku ya jana Steven Mutambi, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya TAMISEMI alikuwa akizungumza kwenye mahojiano pale Crown FM na moja ya kauli ambayo alitoa ni kuwa kwenye Uchaguzi wa...
0 Reactions
2 Replies
498 Views
Hili ni jambo ambalo baadhi ya Wale wengine wamenuna. Vijana hawa wanafanya kazi hii iliyopaswa kufanywa na TAMISEMI huku Waziri wa Wizara hiyo akizunguka na Diamond huko Ikwiriri wakitafuta...
4 Reactions
16 Replies
798 Views
Back
Top Bottom