Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma...
Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema, umewekwa utaratibu maalumu wa kuzuia udanganyifu katika uchaguzi ikiwamo mpiga kura mmoja...
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza muda wa kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wakazi wa Kijiji cha Kikelelwa Kata ya Tarakea...
Wakuu,
Waziri Mchengerwa ametoa taarifa ya uandikishaji ambapo taarifa hiyo imetolewa kimkoa kwa ujumla pamoja na asilimia walizofikisha.
Kama mmepata taarifa za kila mkoa, ina maana taarifa...
ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro...
Spika Dr Tulia amewataka Wananchi wasiishie kwenye kujiandikisha tu bali wajikite kuwapigia Kampeni viongozi wenye Viwango vya kuwavusha
Dr Tulia amewataka Wananchi wawe makini katika kuupima...
Kumekuwa na taarifa inayotolewa na baadhi ya wanasiasa na wana harakati kuhusu taarifa mbalimbali za uchaguzi hasa katika hatua hii ya kujiandikisha.
Nimekutana na hii habari huko mitandaoni...
Katibu wa CHADEMA, John Mnyika leo akiongea na waandishi amemkaanga Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kwa kusema kuwa takwimu alizozitoa waziri huyo hivi karibuni ni za uongo.
Mnyika amesema...
Ratiba ya ccm ipo mkononi hapa inasema tarehe 21 na 22 mwezi huu wagombea kuchukua na kurudisha fomu.
Tarehe 23 kupiga kura kwa wanachama katika matawi(kura za maoni)
Tarehe 24 kamati ya siasa...
Kwa Dar es salaam Nina uhakika Vyama vya Upinzani havitapata Ushindi hata wa Mtaa mmoja
Ujiji ACT Wazalendo wataambulia Mitaa miwili Mitatu halikadhalika Mbeya na Arusha CHADEMA wataambulia Mitaa...
MLELE
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye orodha ya mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao...
HAMASA KUBWA YA WANANCHI KUJIANDIKISHA, PONGEZI ZIENDE KWA RAIS SAMIA
Nchi inayoongozwa katika misingi ya kidemokrasia inaamini kuwa kielelezo cha kwanza cha Demokrasia ni haki ya kuamua, yaani...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Oktoba 19, 2024, ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mpigakura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024...
Haya anayoeleza Huyu Mchungaji Mchungaji Israel Ernest Ngatunga kama ni kweli basi CCM hawataaci madaraka kamwe kwa njia ya amani kupitia boksi la kura
Pia soma: LGE2024 - Vijana wa CCM...
Kama mwenendo wa kujiandikisha Kwenye daftari la mkazi kwaajili ya kupiga kura Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unasua sua hivi,vipi uchaguzi mkuu mwakani?
Wananchi wengi katika mitaa...
Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa, ameonyesha mfano wa uongozi kwa kujitokeza kujiandikisha katika daftari la mkazi, akijiandaa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa...
Wakuu,
Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za...
Wakuu,
Vijana na wanawake msituangushe uchaguzi huu, ruacge kulalamika, tuingie kwenye uongozi na kuleta mabadadiliko tunayoyataka.
Hata kama wazee mifuko imetuna, kama tukisimama imara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.