Hii ni sheria ya 2022 , lakini ni vyema kujifunza yafuatayo tunavyoelekea kwenye kesi ya Tundu Lissu vs Tigo kama mkusanyaji na mchakataji wa taarifa za Tundu lissu.
1. Kuna Tume ya ulinzi wa...
Baada ya wiki 4 za kushuka kwa dollar kwa kasi ya ajabu ambapo dollar ilifika 2290 hatimaye leo dollar imefikia 2515 ikitarajiwa kupanda zaidi siku za usoni . Hii ina maana gani mdau? Kwa mtu...
Mwaka 2020 niliandika uzi humu jamvini kuhusu tofauti ndogo iliyokuwepo baina ya Congo ya Mobutu na Tanzania!
Niliandika uzi ule kwa sababu kuna vitu vingi sana vilivyokuwa vinatokea wakati ule...
Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda
===
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na...
HONGERA MBUNGE MSOMI PRISCUS TARIMO BINGWAA
Baada ya mkwamo wa miaka mingi, hatimaye sasa serikali imefikia makubaliano na kampuni ya ujenzi ya CRJE @crje_zanzibar kurejea site na kukamilisha...
Huko Tanga ni mashindano tu yakutoa zawadi kwa Rais Samia
==
Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, pamoja na wananchi wa Muheza, wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan Ng’ombe...
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa ameeleza kuwa licha ya kuwa Serikali ya Zanzibar ilitoa kila kitu kwa muwekezaji na muwekezaji hakuja na chochote kile lakini serikali...
Inasemwa kuwa siku ya Jana na Leo huko kwenye mitaa ya Lumumba mjini Dar es salaam na Kuu huko mjini Dodoma, vicheko Kwa Wana CCM vimetawala.
CCM wanawacheka wajamaa wenzao chama cha Apruebo...
Makonda alitumia Madaraka yake vibaya sana ya ukuu wa mkoa, Anapaswa kufunguliwa mashtaka ya uhujumu Uchumi na utakatishaji fedha
Ni vyema ikafanyika tathmini ya Mali zake Kimehasabu na kodi...
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni...
Wanabodi,
Kwanza naomba nikiri kuwa nimeandika uzi huu kwa kuwa inspired na mwana jf huyu, Milion mia saba kila baada ya miezi miwili? Na watu wa media waongezewe posho? Huu ni muda wa...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amesema walianzisha kauli mbiu ya "Mtoto wa leo, Mama Samia wa Kesho" ili kuongeza ufaulu na katika Wilaya ya Handeni
Wakuu,
Sasa tunashuhudia mwamko mkubwa hasa upande wa vijana kwenye masuala ya siasa na uchaguzi, japokuwa uchawa umetaradadi kwa kiasi kikubwa, kuna mwanga umeanza kuonekana na kuashiria huenda...
Taarifa yake hii hapa
Jambo la kufurahisha, kwenye Uchaguzi huo ni kwamba, hakuna mgombea aliyepata %99 kama inavyopata ccm ya Tanzania, wala hakukuwa na Mgombea aliyekatwa kama wanavyokatwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi.
Angalizo la Mambo ya Sauti.
Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu...
Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza amekamatwa na police mkoani Geita. Tumethibitisha hizi taarifa kutoka kwa mjomba wake ambaye alifika katika kituo hicho cha Central Geita Mjini na...
Mwenyekiti wa Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO), Joseph Paulo Kaheza, amepewa dhamana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita baada ya kushikiliwa kwa upelelezi kuhusu ushiriki wake katika...
Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda
===
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na...
Tanzania Ina eneo kubwa la ardhi kuliko Kenya, eneo kubwa la maji kuliko Kenya, mbuga nyingi za wanyama kuliko Kenya, uoto mzuri na ardhi kubwa ya kilimo kuliko Kenya. Tanzania Ina idadi kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.