Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Binafsi mwaka huu 2025 nataka Kugombea moja ya Jimbo ambalo mpaka Sasa linaongozwa na Mbunge ambaye ni Waziri kwa Sasa na amedumu kwa miaka 25. Wananchi Jimboni hawamtaki lakini juu huku yeye ni...
5 Reactions
23 Replies
404 Views
Tumesikia hii leo Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitangaza Tume kufungua pazia la kuanza kupokea maombi ya ugawanywaji na...
3 Reactions
35 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM...
1 Reactions
3 Replies
188 Views
Wanabodi Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election. https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x Japo hakuna ubishi...
30 Reactions
255 Replies
5K Views
Feb 27, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ndugu Ismail Jussa atazungumza na waandishi wa habari.Mahala: Ofisi Ndogo za Makao Makuu Vuga ZanzibarMuda: 5:00 Asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
Nakumbuka hata Pascal Mayalla amewahi kuliona hili Hapo Arusha kwa mfano Hakunaga aliyemuweza Mrisho Gambo tangu akiwa DC wa Arusha, RC wa Arusha na Sasa Mbunge wa Arusha Hata Shujaa Magafuli...
3 Reactions
42 Replies
755 Views
Wakuu, Baada ya umoja wa walimu wasiyo na ajira naona umoja mwingine wa vijana wasiyo na ajira umeanzishwa, umoja huu ukiwa unahusisha kada zote nchini ili kupaza sauti juu ya maslahi yao. Pia...
1 Reactions
8 Replies
266 Views
Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika. Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC. Kwenye hii video...
14 Reactions
222 Replies
4K Views
Ni masiliamali na mtanzania ndugu Tony kabetha ameongea mambo mengi sana mazito kuhusu sekta mbalimbali ingawa mimi nimevitiwa sana na hoja zake zilizohusu kilimo cha Tanzania. Nikatamani sana...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
36 Reactions
208 Replies
7K Views
Tulikwishakuwa omba omba wa dunia. Ikafikia hata kuomba na kupewa ikawa ni sifa ya mgombea urais. Kwamba eti awe anajulikana duniani. Baadaye marais wetu wakabweteka. Ukawa mtindo kusafiri. Kama...
19 Reactions
120 Replies
2K Views
SERA ZANGU KAMA MGOMBEA BINAFSI 2025 Nipeni kura zanu, mm nitawafanyia haya yafuatayo😝🥲😛😛Nichagueni mm tuishi kama Mamtoni 1. Gharama ya ufungaji wa umeme itashuka na kuwa 10,000 kwa kila...
0 Reactions
8 Replies
148 Views
=== Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Sipunda wa chama cha CHAUMA zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 ) Leo tutamuangazia Mkurugenzi Mkuu wa...
26 Reactions
100 Replies
3K Views
Jana zoezi limezinduliwa Leo 27/2/2025 wamesema wanalipa watu 200
0 Reactions
7 Replies
343 Views
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio...
38 Reactions
331 Replies
6K Views
Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa...
1 Reactions
4 Replies
186 Views
Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao Huyu Ndiye...
9 Reactions
43 Replies
973 Views
Kijana mzalendo David Nkindikwa amepinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya Mwenyekiti wake ngazi ya taifa Tundu Lissu kuhusu msimamo wa "No Reform, No Election"...
1 Reactions
23 Replies
787 Views
Wakuu Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli. == Ally...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Back
Top Bottom