Ushauri
Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO)
Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth...
Wakuu,
Yaani Rais Samia unawapa kazi kubwa kweli chawa kukusafisha:BearLaugh::BearLaugh::KEKLaugh:, kila wakianza kupiga hatua kuanza kuondoa tope unaenda kuogelea kwenye dimbwi kabisaaa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji...
Hodi Hodi Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akigawa Mitungi ya Gesi (LPG) na Kuzungumza na Wananchi wa Wilaya ya Muheza, leo tarehe 27 Februari, 2025.
Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025.
https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q
Ester Barua ambaye ni...
Kuepuka Media House kufungiwa, Lissu asihojiwe live, mrekodini kwanza mhariri kisha mrushe hewani. Lissu ni risk factor kwa media
Ana tabia ya kuongea vitu vya kutuhumu na character assassination...
Mlevi na Redio
1
Mlevi kajilaza, chupa mkononi,
Redio inavuma, kwa sauti laini,
Sifa kwa rangi, zinasikika mbali,
Lakini mitaani, shida ni ile ile.
2
Barabara mashimo, taa hazing’ai,
Bei ya...
Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao.
Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao...
Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu .
Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako...
Baraza la Madiwani mkoani Arusha kwa pamoja limeridhia na kumuomba Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda kugombea ubunge kwa jimbo la Arusha Mjini.
Je uamuzi huu wa madiwani wa jimbo hilo ni kwambaa...
Kawahi kuwa DC
Kawahi kuwa RC
Kawahi kuwa Mwenezi Taifa
Kawahi kuwa RC.
Hii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe.
Soma...
Vita ya makonda na Gambo inaendelea kupaba moto huko Arusha, Makonda adai dalili mojawapo ya umasikini ni fitina na majungu.
Yanini kupanda fitina, fitina, fitina huu ushirikina mtaacha lini...
Baada ya kushindwa uchaguzi Freeman Mbowe hajaongea lolote. Akina Lissu na timu yake walitumia nguvu nyingi kumbomoa ili washinde uchaguzi kwa hila. Kumbe walikuwa hawana mkakati wa kukiongoza...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) ambaye pia Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi tarehe 25 Februari, 2025 amekutana na viongozi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.