Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Sheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Bukoba, ambapo mwili wake ulipatikana ukiwa umeketi kitini ndani ya...
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"
Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa...
Mh. Rais pole na majukumu yako ya kila siku na kubwa ni katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Natambua kuwa kwa nyakati tofauti tofauti ukipata nafasi huwa unapitia mitandao ya kijamii na kuona...
Moja wapo ya ahadi ya mwana TANU ni "Nitasema ukweli Daima,fitina kwangu mwiko" na Leo Nitasema ukweli kama mwanaCCM unafiki sitaki.
Bwana Heche ameonesha kubeza posho ya 400000 walizokuwa...
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua
Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa.
Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni.
Mioaka...
UTANGULIZI:
Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi...
Ofisi ya mkurugenzi halmshauri ya wilaya ya Nachingwea februari 26,2025 imekabidhi mifuko ya saruji ipatayo 91 kwa Zuhura Mshana aliyepoteza watoto wawili na wajukuu wawili katika ajali ya moto...
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
Jambo la...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amedai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam...
SERIKALI MNAJUKUMU LA KUWASAIDIA HAO VIJANA WA NETO NA WATANZANIA WOTE NA SIO KUWALETEA UKOROFI. TUSIWE KAMA WATU WASIO NA AKILI TUSIOJALI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana Wasomi wote...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025...
Nadhani mwanasheria Mkuu wa serikali ayaangalie mapungufu katika ofisi ya wakili Mkuu wa serikali. Kama mwendesha mashtaka wa serikali (Dpp)anaweza kuendesha mashtaka mpaka mahakama ya wilaya au...
Yaani ukiwasililiza Machadema wanavyoropoka na kupayuka huko kuhusu kile wanaita Rasilimali za Nchi unaweza dhani labda sisi hapa Tanzania tunapata hasara au hatupati kitu kuliko Nchi zingine za...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu
"Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao...
Ukiwaajiri kwa wingi utajipunguzia idadi ya chawa kwa sababu hawatakubali kula punje wakati wana uhakika wa unga(ugali).
Na ukisema uwaajiri wachache kundi linalobaki linaunda NETO,UYAM n.k ili...
Mimi si msomaji mzuri sana wa Maandiko Matakatifu , lakini ninafahamu kidogo kwamba ndani ya Biblia kuna kisa kilichomhusu Yesu na Petro , inaelezwa kwamba Petro alijaribu kupita Juu ya Maji kama...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema;
"Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba...
Huu ni uonevu wa wazi kabisa unaofanywa na watu wanaojitapa na kuwadanganya Watanzania kuwa mwaka jana wamerekebisha Sheria za Uchaguzi na Demokrasia.
Huu ni uthibitisho kuwa Tanzania hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.