Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama
"Tunataka kujenga jamii ya...
Luka 19:17
Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi.
Kuna uhusiano wa uwezo wa uongozi, na uwezo wa kuzalisha faida...
Niende moja kwa moja, nawashauri chadema mkitaka kufanikiwa, wekezeni sana kwenye mitandao ya kijamii, ajirini watu kabisa ikiwezekana.
1. Israel na Hamas vita yao kubwa ilikuwa ardhini, lakini...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Muheza mkoani Tanga katika siku ya tano ya ziara yake ya kikazi, amempisha mwanafunzi kiti chake cha urais akalie kwa muda.
Wanabodi,
Niko hapa jengo la Acacia, kwenye Stanbic Biashara Incubator, kuhudhuria debate ya Policy Forum kwenye Breakfast kujadili kuhusu kitu kinachoitwa Illicit Financial Flows (A Burden to...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongeza utendaji wa Mbunge wa Jimbo la Muheza ambaye pia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Wakuu,
Msanii Mabodo Afrika akitoa burudani maalum kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya utoaji wa bima za afya kwa wananchi 9,000 wa Jiji la...
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums
'Washtue'...
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa,
Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imewataka baadhi ya Wabunge pamoja na Madiwani wanaojipitisha katika Maeneo mbalimbali na kuhalalisha mitano tena kupitia nafasi zao...
Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na sekta Binafsi (PPP), Bwana David Kafulila amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni/Hosteli na miradi mingine...
Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila.
Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja amewaomba wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishwaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura lengo likiwa ni kuhakikisha wanakwenda...
Wakuu.
Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi
Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa...
Wakuu,
Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani
Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa...
Wakuu,
Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Hussein Egobano, amewasihi vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiepusha na makundi ya uchaguzi na badala yake waendelee kudumisha mshikamano...
Wakuu, RC Simiyu Kenani kihongosi amewataka wachimbaji wadogo kutoshawishiwa na wanaharakati kufanya migomo na maandamano kwani wanachokitafuta wao ni ugali wa familia zao tu.
==
Wachimbaji...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es salaam ndugu Ally Bananga akimpokea kada wa Chadema aliyehamia CCM
Ndugu Elia Benadin Mlewa alikuwa akihudumu nafasi ya katibu mtendaji wa Mtandao...
MKUTANO WA JPCC WAZAA MATUNDA: WAZIRI KOMBO AREJEA NA MAKUBALIANO MUHIMU
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amerejea nchini baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.