Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya kiuchumi. Akizungumza katika...
0 Reactions
2 Replies
151 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa mapambano ya uhuru wa kiuchumi na ustawi wa kijamii katika nchi za Kusini mwa Afrika yanaendelea kwa kasi...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Hali hiyo imetokana na chama hicho kujikita zaidi kutafuta pesa za matumizi ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa mgongo wa matumizi ya chama na kuhamasisha wananchi kutokushiriki uchaguzi mkuu huo...
2 Reactions
37 Replies
540 Views
Ili kampeni ya TONE TONE ifanikiwe, ni lazima iambatane na mambo yanayogusa wananchi moja kwa moja na zaid yanayogusa watu wengi. Kwa maneno mengine, ni lazima CHADEMA waonyeshe na watangaze...
3 Reactions
10 Replies
289 Views
Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili...
12 Reactions
114 Replies
5K Views
Leo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele. Leo tunashuhudia...
32 Reactions
58 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa...
3 Reactions
16 Replies
584 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Fedha ya chama hicho Godbless Lema ameeleza kuwa mkakati wa Tone Tone ni mpango wa kuchangia...
3 Reactions
22 Replies
755 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Shauri...
19 Reactions
221 Replies
7K Views
Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la...
16 Reactions
149 Replies
11K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika picha hii unaweza kujua na kupata Picha Namna gani Lissu anachukuliwa na kiwango cha thamani na heshima yake ndani ya CHADEMA. Hapa unaweza kuona na kutambua...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama. Fuatilia...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe. Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector. Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050...
2 Reactions
180 Replies
3K Views
Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Heshima sana wanajamvi. Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini...
9 Reactions
85 Replies
4K Views
Hatumtaki Januali Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena. imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi? Ujumbe wake huu hapa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Najiuliza kama hawa wakipewa mkopo au kudhaminiwa Benki wapate mkopo wafungue shule binafsi, na mkopo uwe na suspended interest. Wanajiunga vikundi vikundi tu, wa kufungua nursery haya, primary...
1 Reactions
15 Replies
291 Views
Back
Top Bottom