Wakuu,
Baada ya jana kukamatwa kwa Mwenyekiti wa NETO, leo zimeibuka taarifa kwamba Katibu wa Jumuiua hiyo amekamtwa na Jeshi La Polisi.
Kupitia mtandao wa X, NETO waliandika kwamba:
Katibu...
Wananchi wa Bumbuli mkoani Tanga wamechukizwa na tabia ya mbunge wao January Makamba kuwapa ma draft kwa ajili yakuchezea wakati barabara ni mbivu na huduma zingine nizashida sehemu hiyo.
Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka.
Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka.
Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa...
Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu...
Nampa pongezi sana Rais kwa kupata tuzo ya Ubingwa wa Kuchekesha. Ni wazi akina Joti na Nanga wamekuwa wakimfuatilia kwa makini na kung'amua kipaji alicho nacho.
Sasa ni watu gani pia wanapaswa...
January Makamba mbunge wa jimbo la Bumbuli na waziri msitaafu uliyetimuliwa kazi na Marais wawili tofauti, kwenye awamu mbili tofauti sasa umeyatimba baada ya kujulikana hadharani kwamba ulipigwa...
Wakuu,
Mpaka tunaingia kwenye ballot box mwezi Oktoba tutaona mambo mengi sana kutoka kwa hawa wanasiasa.
=======================================================
Mkuu wa Wilaya ya Muheza mkoani...
John Heche amesema hakuna hata senti moja ya mchango itakayopotea kwani fedha hizo huwa zinakaguliwa hadi na CAG. Amesisitiza pia kuwa CHADEMA kuna uwazi hivyo watu waendelee kuchangia.
Kupata...
Wakuu,
Vitendo vya kuwaingiza watoto kwenye uchawa vinaongezeka kwa kasi sana, CHADEMA walianza kule Mbeya ila baada ya spana za wananchi naona walijifunza.
Mbali na kuwaweka watoto kwenye...
Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, mapema jana Februari 27, 2025, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 2 kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Liwale...
Hii misafara ya viongozi wetu inakera sana.Leo nimeonja adha ya hii kero haba mbezi karibu na standi kuu ya mabasi ya magufuli.
Nina mgojwaa nawahi hospitali lakini gari zimezuiwa na nimejaribu...
Heche amesema wana mpango wa kujenga miundombinu mbalimbali katika eneo lenye hekari 130 karibia na Kibaha. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni kumbi na vyuo.
"Tunataka watu wetu tuwa train pale...
:::::::
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa na kituo cha Utangazaji Cha Global TV alikuwa na haya ya kusema "Wakati Rais Samia anaingia...
Wako hoi kiuchumi ,taabani kifedha.
Makao makuu ya Chadema yana ukata na njaa kali....mara wanakimbilia ubalozi wa Norway tusipate misaada (dola milioni 7.)kila fiscal year.Mara uchaguzi mkuu...
Kukosekana kwa chama kikuu cha upinzani kushiriki uchaguzi mkuu katika nchi kunaweza kuwa na athari kadhaa za kisiasa, kijamii, na kiuchumi. Hizi ni baadhi ya athari zinazoweza kutokea:
1...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 20 kwa familia nne za marehemu wa ajali iliyotokea Februari 25, 2025 jijini Mbeya na kukabidhi milioni 6...
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mgolobyo, Kijiji cha Mgolobyo Kata ya Miganga mkoani Singida wameelezea Furaha yao mara baada ya kupokea Taulo za kike ( Pads) kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.