Japo inaendeshwa kwa fedha ya walipa kodi wengi maskini na wanyonge, ofisi ya Mwendesha Mashitaka mkuu wa Serikali (DPP) ni chombo au zana yenye kila ukoloni na uvunjaji wa sheria hasa kuwa na...
Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika...
Mwenyekiti wa Kamati ndogo ye fedha ya CHADEMA CHADEMA ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema amesema wapo tayari kutumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili...
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Taarifa ya...
Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.amefanya uteuzi wa viongozi watatu.
Ambapo katika uteuzi huo...
Chawa wa mama salamaaa?
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Kupata...
Ukiyafuatilia ya Arusha mjini utashangaa sana na utajiuliza kama chama hicho kina uongozi wa kitaifa.
Kuna ya kutisha na kuogopesha sana yanafanywa na Wahusika wenyewe pamoja na wapambe wao...
Naomba msaada kumwelewa Lisu yeye akipewa pesa na CCM hajalamba asali za CCM wenzie wakipewa wamelamba asali ya CCM
Mfano kwenye mchango wa kuchangia ununuzi wa gari yake binafsi CCM ilitoa...
Wakuu salama…
Jioni hii umetoka uteuzi wa Balozi Suzana Kaganda kupangiwa nchi ya Zimbabwe kama Balozi wetu huko.
Kabla ya uteuzi huo, Balozi wetu alikuwa Simon Nyakoro Sirro.
Je, Balozi Simon...
Hellow Tanganyika!
Mzee Slaa ameshiriki kiasi kikubwa kuleta mabadiliko ya Fikra Nchi hii, mchango wake ni wa kupigiwa mfano.
KAZI iliyo mbele yetu ni kulazimisha mfumo huu kandamizi kusikiliza...
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga, linaloongozwa na Mbunge Januari Makamba, wameeleza shukrani zao kwa Serikali kwa kuwafikishia miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia mbunge wao, ikiwemo...
"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutoa ruzuku kwenye miradi ya nishati ya gesi ya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.