Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa...
4 Reactions
127 Replies
5K Views
Maafisa wa Maendeleo ya Jamii katika halmashauri za Mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuacha urasimu katika utoaji wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums, Leo tunatafakari jambo zito, jambo ambalo wengi wanaliamini kwa macho lakini wachache wanalihoji kwa akili. Swali linabaki pale pale—Wananchi...
2 Reactions
4 Replies
127 Views
Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana...
5 Reactions
75 Replies
964 Views
Siwez kujihangaisha. Nipige wajihalalishie Tonge wakati mimi nateseka. Marekani ukipiga kura ina impact kubwa kwa taifa
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Rais SSH kuingia na mlinzi wa kiume mskitini ni jambo la kawaida kutokana na sababu mbali mbali , hasa kama kuna tishio la usalama au kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokusanyika kwa pamoja...
18 Reactions
307 Replies
12K Views
Ajaribu aone Deep State wafanye kama walivyofanya kwa mwendazake. Mwendazake alitaka kulamba asali kwa kutumia kisu akaumia. Endapo asingekuwa na tamaa ya kubadili katiba ili aendelee kutawala...
9 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu, Suala la Uchawa limezidi kuwa gumzo nchini. Huyu hapa ni Sophia Simba, kada mtiifu wa CCM ambaye alishawahi kuwa Waziri huko Serikalini. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala...
9 Reactions
17 Replies
762 Views
Mapema leo tarehe 28 Februari 2025 viongozi wakuu wa Chama wakiongozwa na mwenyekiti Taifa Tundu Lissu wametembelea Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) na...
5 Reactions
7 Replies
389 Views
Ndugu zangu Watanzania, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed...
11 Reactions
228 Replies
8K Views
Wakuu, Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni. Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu...
3 Reactions
23 Replies
751 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
7 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
RAIS SAMIA KUIREJESHA TANGA YA VIWANDA NA UTALII, KUKUZA AJIRA KWA VIJANA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza matamanio yake kwa Mkoa wa Tanga, akisema...
0 Reactions
Replies
Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda. Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025...
2 Reactions
8 Replies
281 Views
Kuna watu humu nimeona nao wanachangia kwa upotoshaji,akiwemo mtu anaitwa Tume ya Katiba juu ya namna Lissu alivyotoka Tanzania kwenda Nairobi. Kwanza naomba ku-declare kuwa nilishiriki...
190 Reactions
347 Replies
34K Views
Kuna idadi kubwa ya wakimbizi wa congo nchini Burundi nao wanasema malengo yao ni kufika Tanzania kwenye kisiwa cha amani. Ukweli ni kuwa jamii ya watu wa ngara inavinasaba na ile ya Rwanda ya...
2 Reactions
5 Replies
239 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuheshimu viongozi waliopo madarakani hadi muda wao utakapokamilika rasmi kwa...
0 Reactions
4 Replies
454 Views
  • Redirect
Hili ni ombi maalum kwa raisi wangu Dr. Samia suluhu Hassan tafadhali okoa biashara yangu inaenda kuanguka vibaya Mimi ni mfanyabiashara mdogo nilianza biashara baada ya kumaliza elimu ya juu...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom