Yeye ndie na hakuna mwenye mamlaka juu yake na uwepo wake unadhihilika bila shaka wakuu wangu na waungwana sana wana JF ( sio machawa).
Wana JF amani ya Bwana na ikawe juu yenu popote mlipo kila...
Wakuu,
Wameona wamtengee kabisa Tulia jimbo asipate tabu ya kusumbuana na Sugu, maana wanajua ataibika!
====
Halmashauri ya Jiji la Mbeya imependekeza kuanza mchakato wa kuchunguza na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa ili vyama sita vya siasa vilivyoshiriki harakati za ukombozi katika nchi za kusini mwa Afrika viendelee...
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea...
Mwisho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ndio mwanzo wa uchaguzi mkuu na hapa nazungumzia wa 2025 ambao tuna Imani mgombea wa CCM atakuwa ni Dkt. Samia Suluhu, Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM...
Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam.
Jambo hili likifanyika...
Wakuu,
KUTEKWA KWA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA NDUGU ADBUL NONDO
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Ndugu Abdul Omar Nondoametekwa asubuhi hii na watu wasiojulikana akitokea mkoani...
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.
Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta...
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea...
Katika mjadala wa kisiasa unaoendelea kuhusu uchaguzi wa mwaka 2025, Mbunge wa zamani wa Singida Mashariki na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amejikuta kwenye wakati mgumu aliposhindwa...
Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano.
Balile...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema chama hicho kwa kushirikiana na wadau wengine, kiko kwenye mchakato wa kwenda mahakamani kuishtaki Tume Huru ya...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa...
Ijue idadi ya wanawake katika Kamati kuu za CCM, Chadema, ACT Wazalendo na CUF
ACT WAZALENDO
Kamati kuu ya ACT Wazalendo ina wajumbe 55 ambao kati yao 23 ni wanawake. Wajumbe hao ni pamoja na...
Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho...
Wakuu,
Wenyeviti wa mitaa wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, wameungana kwa pamoja kumuombea dua Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kumtakia afya njema, hekima na uongozi mwema ili aendelee...
Wakuu,
Naona lile wazo la Mbunge wa Kilindi alilolitoa mwaka 2021 kwamba Jimbo la Kilindi ligawanywe mara mbili limeanza kufanyiwa kazi.
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kilindi...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma.
Sanjali na hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.