Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Katika muktadha wa siasa za Tanzania, kuna changamoto nyingi zinazohusiana na utawala bora, uwajibikaji, na uhuru wa kujieleza. Viongozi wengi wanaonekana kuendesha shughuli za kiongozi kwa...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Wakuu, Lema asema hatogombania ubunge wa Arusha Mjini 2025, lakini amesema ataendelea kushiriki kwenye harakati zote za chama katika kuleta mabadiliko. Pia, Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe...
10 Reactions
63 Replies
2K Views
Mpo salama! Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki. Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA. Mikoa hiyo ndio ngome kuu...
4 Reactions
18 Replies
477 Views
Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video...
6 Reactions
103 Replies
4K Views
Leo Ndugu Lema kafunguka mengi sana kuhusu hali ya kisiasa nchini. Miongoni mwa aliyoyazungumza leo ni kuwa katika watu hatari kwa mustakbali wa CHADEMA ni Wenje. Amesema kipindi Wenje kachukua...
41 Reactions
144 Replies
9K Views
Wakuu, Mambo yanazidi kunoga wakati tunaelekea 2025. === Siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu atangaze nia ya kugombea...
5 Reactions
12 Replies
792 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura, amesema kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Akizungumza...
1 Reactions
9 Replies
276 Views
Ukweli ni lazima usemwe Mbowe ni jabali la siasa pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu, Dhahiri CHADEMA chini ya ukufunzi wa Mbowe amekuwa ni mpishi muhimu kwa wanasiasa wa Tanzania, na...
6 Reactions
12 Replies
383 Views
Salaam, shalom! Nimesikia kauli ya mbunge mmoja akitamka kauli ya hatari mbele ya viongozi wake wa chama na mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa hadhara. Amesema hadharani...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika tawi la Kemondo, kata ya Igoma, jijini Mwanza, wameeleza wazi msimamo wao wa kumuunga mkono Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa chama...
2 Reactions
5 Replies
576 Views
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya kaskazini CHADEMA Godbless Lema amesema Uchaguzi wa kanda Nyasa ulikuwa mbaya zaidi kuliko wa TAMISEMI kwani Peter Msigwa alionewa soma pia:
12 Reactions
79 Replies
3K Views
Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao...
19 Reactions
75 Replies
3K Views
Mheshimiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, ukitangaza leo kwamba baada ya tafakuri nzito umeamua kutogombea kwa mara nyingine uenyekiti wa Chadema leo utakuwa umeua ndege wawili kwa...
33 Reactions
186 Replies
4K Views
MWENYEKITI mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema atafanya maombi kwa Mungu kupata upande sahihi wa kuunga mkono katika mvutano wa kumpata...
3 Reactions
30 Replies
792 Views
Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x -- Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa...
2 Reactions
10 Replies
527 Views
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine. "Cha kwanza ni kwamba huyu...
12 Reactions
223 Replies
9K Views
Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi. Pia soma...
5 Reactions
29 Replies
905 Views
Wajameni! Lema leo ametema cheche zake katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa. Na ameonyesha kummunga mkono Tundu Lissu ==================== Na nikigundua kwamba mimi kuwa mwanachama wa chama...
2 Reactions
1 Replies
288 Views
Tumerudia mara kadhaa humu tukionyesha namna baadhi ya viongozi matapeli wa ccm huko mikoani wakiwafanya viongozi wao wa Kitaifa Mabwege , kwa kuwakusanyia watu duni na wasela na kutangaza...
24 Reactions
114 Replies
5K Views
Wakuu, Lema anazidi kutema cheche kwenye mkutano wake na waandishi wa habari leo Januari 14, 2025, asema ukiona mtu anataka kununua uongozi akiwa mwenyekiti wa CHADEMA au kiongozi mwingine, kwa...
4 Reactions
6 Replies
381 Views
Back
Top Bottom