Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

♋Ibrahim Traoré amekuwa kiongozi anayevutia vijana wengi barani Afrika kutokana na nafasi yake kama mfano wa mabadiliko ya kimfumo, hususan kwa nchi zinazokumbwa na changamoto za utawala, ukoloni...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
  • Redirect
Baba yake Wazir wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa, Alhaj Omary Mchengerwa amefariki leo Alfajiri akiwa kwenye Ibada ya Umrah huko Makkah. Kwa mujibu wa taarifa ya Familia ya...
0 Reactions
Replies
Views
Kutwa naona makanisani. Sijawahi kuwaona wakishiriki uwanja wa taifa ktk mashindano au sherehe za waislam. Sio lissu, sio Heche tofauti na ccm, act na chauma
2 Reactions
30 Replies
601 Views
VIDEO: Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Ally Hapi, ameviomba vyombo vya Dola kuwachukulia hatua watu wote wanaotaka kuharibu uchanguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka...
5 Reactions
91 Replies
2K Views
Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
1 Reactions
8 Replies
266 Views
Wakuu, Akiwa anahojiwa katika kipindi cha Power Breakfast Clouds Ester Bulaya amesema: "Mimi ni CHADEMA, (kuhusu kufukuzwa) hayo ni mambo ya ndani ya chama na ndio maana sababu sisi tumesema ni...
0 Reactions
7 Replies
459 Views
Akina mdee wanasema wao ni wanachadema halali. Toa kauli yako. Maana watanzania wanaona kama wamefukuzwa. Usiwe kama Lissu mwisho unakuja kulaumu wengine wakati jukumu hilo ni lako
0 Reactions
4 Replies
118 Views
Smart phone revolution imekuja na changamoto zake , hasa kwa wale wasioweza kujidhibiti na kujikuta wakipost ama maudhui yasiyo na maadili au maudhui yasiyo natija kwa jamii. Orodha hii itakuwa...
3 Reactions
7 Replies
425 Views
Kwa tafsiri sahihi comedy ni mizaha inayopelekea Watu kucheka ama kwa furaha au maudhi Ndio sababu siyo kila anayechekesha ni comedian wengine wako very natural Tuzo ya Rais Samia ilipaswa...
2 Reactions
11 Replies
217 Views
Wakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na...
1 Reactions
9 Replies
355 Views
  • Redirect
Lissu ataja masharti kina Mdee kurejea Chadema. Source gazeti la mwananchi My take. Lissu hana msimamo, akimlaumu Mbowe kwa wabunge hawa kwamba anakuwa nao karibu, yeye anafanya zaidi ya hayo...
0 Reactions
Replies
Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa kama wabunge 19 waliofukuzwa chama wanataka kurejea waje wakieleze chama waliingiaje bungeni. Lissu ametoa kauli hiyo wakati wa...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
✅ Atakagua na Kuzindua Miradi ya Maendeleo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Februari 23, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Aidan Kabudi, amesema Tanzania ina mpango wa kuutangaza muziki wa Singeli kimataifa ili kuufanya kuwa alama ya utambulisho wa Mtanzania...
10 Reactions
74 Replies
2K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua...
10 Reactions
142 Replies
4K Views
Husika na kichwa habari hapo juu; Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake. Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu...
1 Reactions
0 Replies
94 Views
Naona CCM mnakimbizia ajenda kwenye vyombo vya dola , hebu acheni hofu , mnakidhalilisha chama , kwamba chama hakina watu wa kujibu hoja ila ni kwa mitutu ya bunduki? Kwa ukubwa wa chama chenu...
4 Reactions
11 Replies
382 Views
Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania, Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni...
5 Reactions
22 Replies
429 Views
Inawezekana kuna watu bado hawajaelewa vizuri maana ya No Reforms No election. Maana yake ni kwamba:- 1. Hakuna atakayeruhusiwa kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi kama Katiba na Sheria bora za...
7 Reactions
26 Replies
868 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…