Habari Wana JamiiForums,.
Nimewaza juu ya kuwa na thread maalum kuhusiana na vifaa ama material bora vya ujenzi, mahali pa kuvipata, tahadhari n.k
Pia tuweze kushirikishana changamoto mbalimbali...
There is no doubt, we all love good buildings, which is why we sometimes can't help but take a look and even take snap shots whenever we are around a nice building design.
As we know, technology...
Wakuu habari za Jumapili?
Samahani naomba mawazo ama ushauri ni wapi kwa Tanzania naweza kupata mtalaamu anayeweza kunijengea nyumba ya kawaida ndogo (vyumba 4) kwa kutumia materials kama...
Nasikia kuna matofali mazito mara kuna matofali ya kawaida!
Je tofauti zao huwa ipi?
Je yanatengenezwa kwa kutumia nini?
Je matofali mazito yana ratio gani? Na mepesi je?
Je yanatakiwa yawe na...
Karibuni waumini wa majadiliano katika mjadala huu ambao mh Rais amesema angeweza kujenga nyumba hii kwa mill 43.
Kwa mtazamo wangu, licha ya kutoiona nyumba hii kwa ndani huwezi jenga chini ya...
Habari Wana JF.
Ni matumaini yangu mko poa na mnaendelea vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Wakuu Mimi naishi nje ya nchi na sitarajii kurudi kwa miaka hii mitano inayokuja lakini nahitaji...
Habari wana Jf,
Nilikuwa nataka nianze ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu jiko sebule na dinning sasa.
Swali langu ni kwa nikipi kina bei nafuu kununua matofari ya kuchoma au kufyatua matofari...
Nina mpango wa kujenga real estates za kupangisha.
Je, kwa nyumba ambayo ni:
Single room gharama za ujenzi zaweza kua ngapi?
Single room kukiwa na choo ndani(self contained), gharama za ujenzi...
Tunatibu na kumaliza kabisa tatizo la fungus kwenye kuta za nyumba na tunakupa garantee hutasikia tena tatizo hilo karibu sana kwa wakazi wa Arusha na Moshi. Tunapatikana Arusha kwa...
Habari zenu wadau!
Naomba kuuliza bei ya jumla ya vitu vifuatavyo kwa mahitaji ya kufungua duka la vifaa ujenzi.
1. Mabati
2. Nondo
3. Mirunda
4. Binding wire
5. Misumari
6. Mbao na vitu vingine...
Wana JF,
Duniani hakuna fundi ujenzi ambao sio waongo, tumekuwa na ugomvi kubwa mpaka kimataifa tukishitakiana na makampuni mbalimbali hadi haya kushindwa kesi au kushinda kesi. Kitaifa mpaka...
Hii biashara inahisiwa kuwa ni moja kati ya biashara imara na yenye faida kubwa huku ikihitaji mtaji mkubwa ili kuianzisha,
Sasa kwa wadau mliopo kwenye hii bishara tushirikishane namna inavyo...
Wakuu!
Nipo DAR Kuna kamkopo Natarajia Kupewa Mwez Wa Pili Mwakani.
Wazoefu naomba mnishauri Kama pesa hizo zitatosha
na vp upatikanaji wa bidhaa hizo kwa bei ya jumla na mapendekezo yenu...
Nipo mwanza sio mwenyeji sana ila nimefanikiwa kupata kiwanja sehemu.
Napenda kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...!! Hadi inaisha.
Mwenye ujuzi tafadhali ntafurahi tukishare...
Moja kwa moja kwenye mada,bei ya vifaa mbalimbali vya ujenzi imeruka kama ifuatavyo.
Mikoani bei ya Mfuko mmoja wa saruji(cement) umepanda kutoka 14500 nwezi wa februari hadi 20000 bei ya leo...
Mh, rais wa JMT tunakuomba uingilie kati bei ya Saruji au cement kama ilivyo zoeleka pamoja na vifaa vingine vya ujenzi. Mh Rais huku Missenyi Mkoani Kagera bei ya vifaa vya ujenzi iko juu sana...