RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa...
ERB ONGEZENI UBUNIFU KUENDANA NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA - WAZIRI ULEGA.
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), kuongeza ubunifu ili kuendana na kasi...
Tupigie 0743257669 #Watalaamu waliobobea katika ujenzi wa mashimo ya kisasa visivyojaa haraka kutokana na mfumo wa tofali na mfumo wa mawe
✍️SIFA ZA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA
📍HAVIJAI KABISA...
Wataalam naomba rough estimate ya msingi wa kijumba chenye GHOROFA MOJA, ukubwa wake ni 7680x9270.
Gharama ya msingi hadi kufunga mkanda ni kiasi gani cha fedha, Eneo ni flat kabisa.
Je, hatua...
SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa...
Mvuto wa nyumba yeyote iwe ya familia au kupangisha, hutegemea sana mwonekano na mpangilio wa mandhari ya nje... Kitaalamu huitwa LANDSCAPING
sasa landscaping haiwekwi kwa kukisia kisia, bali ni...
Watu wengi kulalamika na kufikia hatua ya kuchukia makazi Yao wakidai,
1. Mbona nyumba yangu sio nzuri Sana?
2. Mbona nyumba Ina joto kubwa Sana?
3. Mbona hewa inayopatikana ni kama Ina vumbi au...
Tunatoa huduma za:
1. Gardening and landscaping
2. House molding and decorations
Ushauri na mitazamo yakinifu ni bureeeeee kabisaa. Chukua hatua, nipigie kwa namba 0714693107. Napatikana dar es...
Habari waheshimiwa.
Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike.
So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa...
KAMATI YAPONGEZA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI KUKAMILISHA MIRADI TUNDUMA.
Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutumia mapato ya Ndani kujenga shule ya...
BILIONI 45.6 KUKAMILISHA MIRADI YA DHARURA KAGERA
Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia...
Tangu December 2024 hadi sasa January 2025 nimebaini uhaba mkali sana wa maafundi ujenzi (Uwashi, nk.) .., uhaba ni mkali mno! Mafundi Uwashi ni wa kugombania hasa jijini Dar. Chanzo ni nini?
At...
Hivi wenzetu wafaransa waliweza vipi kupangilia vizuri namna hii miji yao.mfumo wao wa ujengaji makazi ukoje ?
Ukilinganisha na hapa kwetu Dar ambapo ndiyo wtz wengi wanapasifu,unaona kabisa...
TANRODS ISIMAMIE MIRADI YA CSR IJENGWE KWA KIWANGO
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na...
ULEGA AMBANA MKANDARASI DARAJA LA LUKULEDI-AMPA MIEZI MITATU LIKAMILIKE
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation...