MAKALA YA 1
Karibu katika Makala uhusio Ujenzi Majengo madogo mfano; Nyumba,maduka,Zahanati,Darsa n.k
Leo tuangazie ujenzi wa msingi(foundation) wa jengo.
Yafuatayo ni mambo 10 muhimu kuhusu...
MAKALA YA 4
Karibuni katika Makala yetu ya Ujenzi,Ambapo dhana na lugha ngumu ya Kitaalam inageuzwa kuwa nyepesi na kueleweka.
Leo japo kwa ufupi tutajadili kuhusu suala la "Chumvi kwenye Jengo"...
MAKALA YA 2
Karibuni tena katika Makala yenye kutoa elimu juu ya mambo muhimu kwenye ujenzi wa Majengo (madogo) I.e. Nyumba, Maduka, Darasa, Zahanati n.k
Leo tunatazamia katika Halijoto ndani ya...
Husika na mada tajwa hapo. Mm nipo bunju Kilomita 3 kutoka barabara ya bagamoyo . Nyumba tiyar imeisha pigwa blandaring kinachofanyika ni kudisgn ua la sebure pamoja na dinning. Asiwe na bei za...
Habari zenu jukwaa.
kuna kiwanja nilishawahi kukipata na kukipigia fensi, nataka niaze ujenzi mwezi wa sita.
Dhumuni kuu la kuwaleta mafundi wamalawi ni ile sifa yao wanayojulikana kuwa nayo...
BASHUNGWA AWASILI WILAYANI MAFIA KWA ZIARA YA KIKAZI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya...
UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO SEHEMU YA KWANZA KUKAMILIKA DISEMBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato - Dodoma...
Kichwa cha habari kinajieleza, namtaka mtaalamu ambae atanitengenezea UA zuri la kisasa sebleni kwangu kwa malipo tajwa hapo juu, Angalizo nahitaji expert haswa sio mtu wa kujifunza.Eneo Kibaha
MAKALA YA 5
Karibuni katika Makala yetu ya kila wiki, leo tunaangazia kwenye kukabiliana na Baridi kwenye jengo.
Kwa wale wa Njombe, Ruvuma, Mbeya, Kagera, Arusha, Iringa, Singida, Kilimanjaro...
Heshima kwenu wana jamvi.
Kuna jamaa aliniuzia eneo. Baada ya muda kupita bila mimi kwenda kutembelea eneo nahisi atakuwa amebadilisha mipaka ya eneo.
Naomba mtu anayejua jumla ya hivyo vipimo...
Wakuu nipo hatua ya kupaua, katika kuzunguka huko na huko kujua bati bora watu wengi wanasema ALAF, ALAF, ALAF yaani ni ALAF tu, wachache wamesema DRAGON, Dragoni baada ya kuwauliza bei yao ni...
Either male au female ambae anajenga au amemaliza kujenga kwa nyakati hizi, hongera sana.
Nimeamka leo asubuhi napiga mahesabu ya costs za ujenzi.
Yani kwa hesabu ya haraka nyumba ya vyumba...
Salam,
Ndugu zangu naomba ufafanuzi wa kitaalamu nilinunua kiwanja ambacho kimepimwa kabisa na kiukweli kilikuwa kikubwa sio mtaalam sana ila wakati tunahesabu hatua ilikua 60 kwa 40 na kipo...
KAMATI YA MIUNDOMBINU YASISITIZA WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa...
UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha...
KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya...
Hapa Tanzania watu wengi huchukulia kujenga na kumiliki nyumba ni hatua kubwa ya mafanikio katika miasha. Wafanyakazi wengi hukopa na kuishi na madeni ya viwanja na nyumba maisha yao yote ili tu...