BASHUNGWA AMUONDOA MKANDARASI WA BARABARA KATIKA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI-MOROGORO
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kumuondoa Mkandarasi wa kampuni...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na...
BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering...
Habari wakuu,
Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama...
Salaam wakuu.
Katika pitapita zangu mitandaoni huku na kule, nilikutana na mjengo fulani wa macontainer.
Kwa haraka haraka nikapiga hesabu nikaona ni more affordable kama unakimbia maisha ya...
TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI NA UKARABATI MIUNDOMBINU YA BARABARA.
Tanzania na Misri zimekubaliana kushirikiana katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya Barabara na Madaraja...
MAJI YA BOMBA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI
Serikali kwa kupitia RUWASA na MUWASA inaendelea kusambaza maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria kwenda vijijini mwetu.
MUWASA imepewe jukumu la...
Wandugu kuna jamaa wananikusanyia Mchanga , Sasa kwa wajuzi naomba msaada, fuso moja linajaa ndoo ngp za mchanga? Ili nipate hesabu sahihi.
Asante kwa anayejua..!
Mbunge Twaha Mpembenwe: Force Account Idhibitiwe Katika Kutekeleza Miradi
WABUNGE wametilia shaka matumizi ya Force Account katika kutekeleza baadhi ya miradi ya Serikali.
Wawakilishi hao wa...
Wakuu Kwema?
Kuna haya mashimo ya choo wanayosema hayajai. Inawezekana kweli hayajai au yanajaa kwa kuchelewa lakini naona kama yanakuzwa sana Gharama zake. Yaani nikijaribu kuangalia materials...
Habari wadau! Naomba kuuliza ukiwa na TZS 20 Milioni na unataka kujenga nyumba ya Vyumba 3 na Master unaweza kuanza na kufika hatua Gani?
Ntashukuru kama mtanipa estimate za kila hatua
Asantee
Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba.
Inavyumba vitatu na Choo cha public
UKubwa ni 15*16
NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na...
WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha...
BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU.
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi -...
MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA
Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15...
Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu...
Wadau,
Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba.
Ipi ni sehemu sahihi?
Salaam wakuu,
Naambatisha hapa picha ya ramani ya paa( hiddenroof) naomba wataalamu wetu wanisaidie kunipa makadirio ya idadi ya bao na mabati inayohitajika ya hiii nyumba.
Ikiwezekana pia...